Man City Vs Man Utd: Live From The Etihad

Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,476
4,752
C_71_article_1486199_image_list_image_list_item_0_image.jpg

Salama wakuu...... Leo ndio siku ya Manchester derby......Game inakaribia kuanza....

Ki
la la heri mashabiki wa Man City na Man Utd.....

Karibuni sana kwa live updates.......

UPDATES:

10min: Man City 0-0 Man Utd

16min: Man City 0-1 Man Utd, a goal by Rooney!

25min: Man City 0-1 Man Utd

28min: Man City 0-2 Man Utd, another goal by Rooney!

35min: Man City 0-2 Man Utd

HT: Man City 0-2 Man Utd

59min: Man City 1-2 Man Utd, a goal by Yahya Toure

66min: Man City 1-2 Man Utd

80min: Man City 1-2 Man Utd

84min: Toure Yahya anampisha Dzeko

85min: Man City 1-2 Man Utd

86min: Man City 2-2 Man Utd, a goal by Zabaleta

90min: Man City 2-2 Man Utd

90+2min: Man City 2-3 Man Utd, a goal by Van Persie

FT: Man City 2-3 Man Utd!
 
asante asante Balantanda nimekupata sawia...
kwa niaba ya mafundi mitambo Rando Mabula na Obi Mwambungu, mimi ni Gang Chomba nitakaehakikisha tunasimama imara kukupatia updates za mpambano huu...
 
mmmh kwa sisi ambao ni Blues wale waliochukua UEFA ambao sasa wako JAPAN leo nawapa ushindi MANCITY
 
asante asante Balantanda nimekupata sawia...
kwa niaba ya mafundi mitambo Rando Mabula na Obi Mwambungu, mimi ni Gang Chomba nitakaehakikisha tunasimama imara kukupatia updates za mpambano huu...
ok GANG declare interest kwanza unasimamia upande gani!!usije kutuacha njiani
 
Last edited by a moderator:
aiseeeeeeeeee babaang upo moja kwa moja uwanjani au na wewe unaangalia kwenye kideo
 
Tujikumbushe mechi za msimu uliopita baina ya timu hizi mbili pinzani kutoka jiji la Manchester ambazo ni kama Simba na Yanga ama African Sports na Coastal Union kwa hapa Tanzania

Tarehe 23/10/2011 Man Utd 1-6 Man City

<span style="color: rgb(51, 51, 51); background-color: rgb(250, 250, 250); ">

2351a7101e9d4517fbdf32ecf50814  d1.jpg

Tarehe 30/04/2012 Man City 1-0 Man Utd

Last edited by a moderator:
Tujikumbushe mechi za msimu uliopita baina ya timu hizi mbili pinzani kutoka jiji la Manchester ambazo ni kama Simba na Yanga ama African Sports na Coastal Union kwa hapa Tanzania

Tarehe 23/10/2011 Man Utd 1-6 Man City

<span style="color: rgb(51, 51, 51); background-color: rgb(250, 250, 250); ">

2351a7101e9d4517fbdf32ecf50814d1.jpg

Tarehe 30/04/2012 Man City 1-0 Man Utd

sasa wewe unataka kuharibu hii mechi!!unajaza server bwana ondoa hii kitu!!!
 
Last edited by a moderator:
sasa wewe unataka kuharibu hii mechi!!unajaza server bwana ondoa hii kitu!!!
Kuharibu kivipi?.....Kama vipi si uanzishe thread nyingine mkuu......Hii ni live coverage....Na kwa kawaida kaba ya mechi lazima tuwe na uchambuzi wa kabla ya mechi ambapo tunapitia mechi ziizotangulia zinazohusisha na timu husika.......

Sasa sijui tatizo ni kwa sababu Man Utd walipigwa mechi zote mbili ndo maana unamind ama ni kujaza server......
 
siipendi history kiongozi!!!!
 
Shitty wameanza vizuri hapa,lakini Wazza anawafunga hapa.

Shitty 0 United 1
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom