Man city Vs Barcelona @Etihad Stadium

Vijana wa City na Barca chin ya referee msweden Jonas Eriksson wanataka kutoa droo
 
mkuu wenzetu huwa wanatumia akili sana kwenye hizi game wewe subiri utaona mambo yakibadilika

Wewe Uko Etihad unacheza hivi ukienda Camp nou utafanyaje? Hiyo sio plan umezidiwa!
 
Wamepaniana kweli, kadi za njano zinatembea tuu
 
Fernandinho,David Silva & YAHYA Toure wote wapo hakuna lolote wanalofanya zaidi ya kucheza faulo. Barca wamenyimwa penati kolarov kashika eneo la 18.
 
Nasikia Barca kanyimwa penalt,mpira ulimgonga Clichy mkononi.
 
Wewe Uko Etihad unacheza hivi ukienda Camp nou utafanyaje? Hiyo sio plan umezidiwa!

bado Man City bado ni timu ndogo sana hasa ktk michuano hii ya Uefa
 
Fernandinho,David Silva & YAHYA Toure wote wapo hakuna lolote wanalofanya zaidi ya kucheza faulo. Barca wamenyimwa penati kolarov kashika eneo la 18.

ubabe tuu hamna mpira wowote wanaocheza
 
Fernandinho,David Silva & YAHYA Toure wote wapo hakuna lolote wanalofanya zaidi ya kucheza faulo. Barca wamenyimwa penati kolarov kashika eneo la 18.

hakuna kitu kibaya kama kulazimisha kitu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…