Mwanae wa mwisho huyo bibi ameingia chuo kikuu juzi alikua analalamika mkopo hawajampa licha ya kuwa na vigezo.
Aaaa mama wee hivi ukisia nimekufa kwa ajili yako ndo utakuja mazishini?Hebu sogea pm nikung'ate sikio bi mkubwa!!mimi kwako tena nisahauliweee!!!
miss chagga upo?
Je hautaki mjomba? Sema tu hapa hapa.
mimi sitaki mjomba maskinimiss chagga upo?
Je hautaki mjomba? Sema tu hapa hapa.
mimi sitaki mjomba maskini
Ha ha haaa, naona ni wale wa wanaume wa rombo. Ni kama ameingia mitini.
Ha ha haaa, naona ni wale wa wanaume wa rombo. Ni kama ameingia mitini.
Mzima wewe?
kheeee anti yangu jamanMiss chagga punguza kiherehere anti yako anakaribia kuelekea kibra huku'!
mimi sitaki uncle kama weweShangazi kashalainika soon utaniita auncle chambo!!safari ya muheza itakuhusu sana miss chagga!!
Ni nani alikufundisha kutupa jongoo na mti wake?