Mamndenyi popote alipo

Chambo81

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
441
Reaction score
200
Jamani wana JF,

Mimi nimetokea kumkubali sana huyu mama anaejiita mamndenyi naomba connection na huyu mama popote alipo au kwa anaeweza kuniunganisha nae zawadi nono itatolewa au mamndenyi mwenyewe unapoiona hii post.

Naomba uni pm tuseme yetu
 
....mamaaaa !! shangazi Mamndenyi njoo huku uone mtu anataja kuwa mjomba wangu....
 
Last edited by a moderator:
....mamaaaa !! shangazi Mamndenyi njoo huku uone mtu anataja kuwa mjomba wangu....

Mkuu Gefu ongea na shangazi yako maana anininyima usingizi sana nimejaribu kuongea nae kwa kucomment thread za watu ila hanielewi nimeona nimuwekee thread yake kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Mamdenye mjibu Chambo81 mwenzio yuko hoi bin taaban.Mimi ninajua aliko lakini ku disclose information yake ni mpaka kwa ridhaa yake na wala zawadi yako siihitaji!!
 
Jamani wana jf mimi nimetokea kumkubali sana huyu mama anaejiita mamdenyi naomba connection na huyu mama popote alipo au kwa anaeweza kuniunganisha nae zawadi nono itatolewa au mamdenyi mwenyewe unapoiona hii post naomba uni pm tuseme yetu!

sijui nikutupie namba yake....ah ama wacha tu
 
anti yangu Mamndenyi njooo huku unatakwa ,.. anti muombe hela
 
Last edited by a moderator:
Jamani wana jf mimi nimetokea kumkubali sana huyu mama anaejiita mamdenyi naomba connection na huyu mama popote alipo au kwa anaeweza kuniunganisha nae zawadi nono itatolewa au mamdenyi mwenyewe unapoiona hii post naomba uni pm tuseme yetu!

Naona dogo upo kwny harakati za kutafuta jimama la kukulea mjini😛
 
Mwanae wa mwisho huyo bibi ameingia chuo kikuu juzi alikua analalamika mkopo hawajampa licha ya kuwa na vigezo.
 
Aisee. Hivi kumbe eeeh

Aaaa mama wee hivi ukisia nimekufa kwa ajili yako ndo utakuja mazishini?Hebu sogea pm nikung'ate sikio bi mkubwa!!mimi kwako tena nisahauliweee!!!
 
hizi za kule kwetu moshi

Hahhahaaa sio fresh namna hiyo mbona mama mwenyewe hajasema kitu anatafakari anitunuku vp we unaanza kumzibua masikio???hawa wa mama sio kama wewe mtafutaji…yeye sa hizi anakula pension tu……teh teh teh ndio maana sikutaki wewe!!!
 
mimi ukinitaka utakufa kwa njaaa
 
Miss chagga ngoma si yako mbona umekomaa na mimi hivyo…hebu mshtue anti yako hapo mwambie nimerudi tena na kilio changu!!!
kanituma kaniambia umkome hana mda wa kulea .. ye mwenyewe pesa hazimtoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…