Mamndenyi na likes zake....

Mwake.....ndio vigodoro hivyo? Uko pande zipi? Tandale kwa tumbo, Mburahati madoto, Kinondoni mwembe sindimba, kwa msokota nywele, kwa bi uda?
 
Mwake.....ndio vigodoro hivyo? Uko pande zipi? Tandale kwa tumbo, Mburahati madoto, Kinondoni mwembe sindimba, kwa msokota nywele, kwa bi uda?

Nipo Tandika maji machafu karibia na eneo linaitwa taa nyekundu....Karibu kwa mikono miwili ila siku ukija niambie siku moja kabla ili niandae mazingira
 
Mamndeny hebu gonga like na hii basi hata kama hakuna pointi. . .
 

kina ninaposoma uzi za like na mkumbuka rafiki ya Gang Chomba na Maggid Mjengwa..
 
Last edited by a moderator:
kweli Mamndenyi kwa kugonga likes anaongoza, mwenyewe amenigongea like si chini ya kumi....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…