mamndenyi for next Big Brother......

hivi haujatosheka tu,
heri nijitoe[
QUOTE=Bishanga;6616184]Na mkisha oana? Ndo muishi kwako keko magurumbasi choo passport size? Mtoto Lady doctor njoo mambo iko huku masaki kwa bilionea bishanga![/QUOTE]
 
Katavi anayetegemea kuingia kupitia juju
anakusumbua kweli.[
QUOTE=Bishanga;6622380]ole wako uingie BBA na Mamndenyi wangu,nitakunyofoa kifwanyio![/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
hapa sisemi
ngoja akufaidi faidi tena[
najua utakuja tu.Q
UOTE=Bishanga;6622410]baby baby baby baby The secretary nikupendeje uamini kwako nimekufa nimeoza sijitambui?[/QUOTE]
 
Baba V malizia hiyo sentinsi, .........achana nae huyo..........
nimekuja kujua kuwa hela za Bishanga siyo za mikopo
ushahidi ninao hapa
ila samahani maswali sitayajibu.
Wewe nae huyo Bishanga anakuzingua na hela za FINCA achana nae huyo[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Baba V malizia hiyo sentinsi, .........achana nae huyo..........
nimekuja kujua kuwa hela za Bishanga siyo za mikopo
ushahidi ninao hapa
ila samahani maswali sitayajibu.
Wewe nae huyo Bishanga anakuzingua na hela za FINCA achana nae huyo
[/QUOTE]

wewe nae hata picha huoni???? hapo ilikuwa umalizie wewe kuwa 'njoo kwangu'
 
uje kwangu na mali zako zote,
zinazohamishika na zisizohamishika.

wewe nae hata picha huoni???? hapo ilikuwa umalizie wewe kuwa 'njoo kwangu'[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…