Makusanyo ya Kodi TRA kwa mwaka 2016/2017 yavunja rekodi, Trilioni 14.4 zakusanywa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatangaza ongezeko la mapato kwa asilimia 7.67 kutoka Sh. trilion 13. 3 mwaka wa fedha 2015/16 hadi trilion 14.4 mwaka wa fedha 2016/17.

Miezi ambayo imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa zaidi ni Septemba 2016 ambapo zilikusanywa sh. trilion 1. 378, Machi 2017 zilipokusanywa sh trilion 1.345 na Julai 2017 zilipokusanywa sh trilioni 1. 396.

19894843_1552935371393293_737010677292518801_n.jpg

19990292_1486569004745645_2385699755388534164_n.jpg

19894815_1486570458078833_3572188498993148247_n.jpg

NB;
Taarifa hii inauzima upotoshaji wa Silinde aliyeongopa eti TRA sasa wanakusanya bilioni 700 kwa mwezi.
 
Ziko wapi sasa, mbona hatuzioni hizo hela, maofisini wafanyakazi wa serikali wanalia hamna hela, wafanyakazi wenyewe wachache tu. miradi ipi inaendelea inayotegemea hela zetu sasaivi?..tuambieni hizo hela zinafanya nini sasa.au ziko wapi. acheni kutudanganya.
 
ziko wapi sasa, mbona hatuzioni hizo hela, maofisini wafanyakazi wa serikali wanalia hamna hela, wafanyakazi wenyewe wachache tu. miradi ipi inaendelea inayotegemea hela zetu sasaivi?..tuambieni hizo hela zinafanya nini sasa.au ziko wapi. acheni kutudanganya.

Kwani mishahara hawapewi au?

Ukitaka uone miradi inayotekelezwa tembea au fuatilia taarifa za serikali kila siku, kwani Katibu mkuu wizara ya fedha alipotangaza kuwa tutalipa sh. Bilioni 300 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa RELI mpya ya Standard Gauge ulidhani hizo fedha ni za nani?

Ndege ziliponunuliwa na nyingine inakuja mwezi huu na zingine mwakani unadhani hizo fedha zilitoka wapi? miradi mingi sana kwa sasa hasa ya barabara inajengwa na wakandarasi wa ndani ili pesa zibaki ndani ya nchi, unadhani NYANZA ambaye kapewa tenda za barabara za lami nchi nzima unadhani analipwa kwa fedha gani?

Madeni ambayo yalikopwa na JK. unadhani yanalipwaje?
 
TRA wanatufanya sisi wananchi ni wajinga sana!
hawajavuja rekodi ila ni kama Siasa tu zinaongelewa hapo .....
ukweli ni huu hapa walitakiwa wakusanye trillion 15.5 ila wameunder perfome wamekusanya trillion 14,ukweli mchungu wahajafikia lengo kabisa ,wala wasifu waangalie wapi wameharibu warekebishe

hebu tupitie jedwali chini,tuangalia na kuchambua tunapoelekea
maoni yangu naona kama nchi tuna hali mbaya kwa fedha za ndani ninatosha tu kwenye matumizi ya kila siku kuendesha nchi na mishaara ya watumizhi wa umma .Bado nchi yetu ni tegemezi sana zaidi ya awamu ya nne
Hitimisho: kila mtu afanye wajibu wake bila kuingiza siasa hii nchi niyakwetu sote sio CCM wala CHADEMA, uchumi ukiwa mbaya tutaathirika,tutahabika wote. Tuwalaani wote wanaoiombea mabaya nchi yetu
source :Bajeti ya 2016/17

clip_image002.gif
 
Kwani mishahara hawapewi au?

Ukitaka uone miradi inayotekelezwa tembea au fuatilia taarifa za serikali kila siku, kwani Katibu mkuu wizara ya fedha alipotangaza kuwa tutalipa sh. Bilioni 300 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa RELI mpya ya Standard Gauge ulidhani hizo fedha ni za nani?

Ndege ziliponunuliwa na nyingine inakuja mwezi huu na zingine mwakani unadhani hizo fedha zilitoka wapi? miradi mingi sana kwa sasa hasa ya barabara inajengwa na wakandarasi wa ndani ili pesa zibaki ndani ya nchi, unadhani NYANZA ambaye kapewa tenda za barabara za lami nchi nzima unadhani analipwa kwa fedha gani?

Madeni ambayo yalikopwa na JK. unadhani yanalipwaje?
mishahara wanapata lakini hela za kutendea kazi hazipo maofisini mwao. miradi mi naiona tu ile ya kikwete. kununua ndege ambazo zipo gereji tunahitaji tume iundwe, ni za garama mno hatuhitaji kuingiwa king.ukisema miradi ya barabara sikuelewi kwasababu ninapopita mabarabarani sioni miradi. awamu ya kikwete na mkapa ndio kila sehemu utaona makampuni ya ujenzi. sasaivi wapi wapo? ukisema SGR, wamefikia wapi kwa sasa? tueleze. usifikiri unaongea na watoto.
 
Kweli mna laana ya kudumu...enhe, alipokopa hizo fedha ndio akaanzisha lile shamba la mahindi?
usisumbuke nao hao, akili zao za kufoji vyeti ndio zimeishia hapo kufikiri. ndio maana mange amepiga kelele hadi amechoka wafoji vyeti bado tu wapo wanadunda kutwa kutishia watu maisha ili waishi kama wapo rwanda kwa kagame vile.hii nchi ya kwetu sote.
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatangaza ongezeko la mapato kwa asilimia 7.67 kutoka Sh. trilion 13. 3 mwaka wa fedha 2015/16 hadi trilion 14.4 mwaka wa fedha 2016/17.

Miezi ambayo imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa zaidi ni Septemba 2016 ambapo zilikusanywa sh. trilion 1. 378, Machi 2017 zilipokusanywa sh trilion 1.345 na Julai 2017 zilipokusanywa sh trilioni 1. 396.

19894843_1552935371393293_737010677292518801_n.jpg

NB;
Taarifa hii inauzima upotoshaji wa Silinde aliyeongopa eti TRA sasa wanakusanya bilioni 700 kwa mwezi.
SUBIRI KIDOGO....
Tunamtafuta SHILINDE tuseme nae kidogo
 
Ni muda mrefu na mara nyingi mkuu wa nchi ameonekana akiweka mawe ya msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo, tena kwa mbwembwe na tambo nyiiiiiiingi. Lakini zkishapita siku kadhaa husikii chochote kinachoendelea.
Wakat mtu ameshajitamba kwamba tutajenga kwa pesa zetu na pesa tunayo tayari.

cephalocaudo the greatest
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatangaza ongezeko la mapato kwa asilimia 7.67 kutoka Sh. trilion 13. 3 mwaka wa fedha 2015/16 hadi trilion 14.4 mwaka wa fedha 2016/17.

Miezi ambayo imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa zaidi ni Septemba 2016 ambapo zilikusanywa sh. trilion 1. 378, Machi 2017 zilipokusanywa sh trilion 1.345 na Julai 2017 zilipokusanywa sh trilioni 1. 396.

19894843_1552935371393293_737010677292518801_n.jpg

NB;
Taarifa hii inauzima upotoshaji wa Silinde aliyeongopa eti TRA sasa wanakusanya bilioni 700 kwa mwezi.
Silinde hakuitoa kichwani aliipata kwenye vitabu vyenu

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatangaza ongezeko la mapato kwa asilimia 7.67 kutoka Sh. trilion 13. 3 mwaka wa fedha 2015/16 hadi trilion 14.4 mwaka wa fedha 2016/17.

Miezi ambayo imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa zaidi ni Septemba 2016 ambapo zilikusanywa sh. trilion 1. 378, Machi 2017 zilipokusanywa sh trilion 1.345 na Julai 2017 zilipokusanywa sh trilioni 1. 396.

19894843_1552935371393293_737010677292518801_n.jpg

NB;
Taarifa hii inauzima upotoshaji wa Silinde aliyeongopa eti TRA sasa wanakusanya bilioni 700 kwa mwezi.
hii me siiamini hata kiduchu hawa jamaa ni mafundi wa sanaa TZ.
Ukimya wao tu ni drama tosha kuwa walikuwa wakitengeneza movie.
 
Kwani mishahara hawapewi au?

Ukitaka uone miradi inayotekelezwa tembea au fuatilia taarifa za serikali kila siku, kwani Katibu mkuu wizara ya fedha alipotangaza kuwa tutalipa sh. Bilioni 300 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa RELI mpya ya Standard Gauge ulidhani hizo fedha ni za nani?

Ndege ziliponunuliwa na nyingine inakuja mwezi huu na zingine mwakani unadhani hizo fedha zilitoka wapi? miradi mingi sana kwa sasa hasa ya barabara inajengwa na wakandarasi wa ndani ili pesa zibaki ndani ya nchi, unadhani NYANZA ambaye kapewa tenda za barabara za lami nchi nzima unadhani analipwa kwa fedha gani?

Madeni ambayo yalikopwa na JK. unadhani yanalipwaje?

Hata JK alijisifia alilipa madeni ya Mkapa na ya Nyerere ambayo Rais wowote hajawahi kulipa... Pia unapotuambia tunalipa madeni ya JK lazima ukumbuke pia hata hii serikali imeshakopa sana mpaka sasa kwahiyo kuna mtu pia atalipa madeni ya JPM huko mbele.....

Maendeleo huonekana kwa macho na mfaidikaji mkuu ni mwananchi, asilimia zaidi ya 65% ya watanzania ni masikini wa kutupwa, sijaona harakati na mipango ya kumkwamua huyu masikini.. Ubora wa Elimu msingi mpaka chuo kikuu, kipato kizuri kwa mtu mmoja mmoja, huduma bora za afya, miundombinu iliyobora, umeme ulio wa uhakika nk,nk..
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatangaza ongezeko la mapato kwa asilimia 7.67 kutoka Sh. trilion 13. 3 mwaka wa fedha 2015/16 hadi trilion 14.4 mwaka wa fedha 2016/17.

Miezi ambayo imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa zaidi ni Septemba 2016 ambapo zilikusanywa sh. trilion 1. 378, Machi 2017 zilipokusanywa sh trilion 1.345 na Julai 2017 zilipokusanywa sh trilioni 1. 396.

19894843_1552935371393293_737010677292518801_n.jpg

NB;
Taarifa hii inauzima upotoshaji wa Silinde aliyeongopa eti TRA sasa wanakusanya bilioni 700 kwa mwezi.
Mtoa mada bado ni mtoto mdogo, tuelewe nini. Mara mwaka 2016, mara 2017. Kwa hiyo julai 2017, tayari tumemaliza, na makusanyo yametolewa. Acha utoto.
 
Kwani mishahara hawapewi au?

Ukitaka uone miradi inayotekelezwa tembea au fuatilia taarifa za serikali kila siku, kwani Katibu mkuu wizara ya fedha alipotangaza kuwa tutalipa sh. Bilioni 300 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa RELI mpya ya Standard Gauge ulidhani hizo fedha ni za nani?

Ndege ziliponunuliwa na nyingine inakuja mwezi huu na zingine mwakani unadhani hizo fedha zilitoka wapi? miradi mingi sana kwa sasa hasa ya barabara inajengwa na wakandarasi wa ndani ili pesa zibaki ndani ya nchi, unadhani NYANZA ambaye kapewa tenda za barabara za lami nchi nzima unadhani analipwa kwa fedha gani?

Madeni ambayo yalikopwa na JK. unadhani yanalipwaje?
hujamalizia mwisho

''Msemaji wa SIZONJE''
 
Na Inaonekana kwa sasa TRA wanapokea chochote hata ukiwapelekea mchango wa harusi!

Makusanyo duni hayajawahi kuiacha mamlaka yetu ya mapato salama

cephalocaudo the greatest
 
Back
Top Bottom