Mamlaka ya Hali ya hewa, Tanga mjini na Pangani hakuna mvua. Utabiri wenu unasemaje?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,004
Jana Mama Kijazi alisema utabiri wenu kwa Sasa umepanda hadi 96 pc accuracy.

Sasa tangu December 2020 Tanga mjini hakuna mvua mpàka leo. Sababu ni zipi za kukosekàna mvua?
 
Ndio tuamini kama yuko mwenye kucontol hali ya hewa binaadam hajakamilika na hawezibkuju what's gnna happen tomorrow
 
Back
Top Bottom