Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
View attachment 2814208
Sasa watu wataweza kupokea utabiri wa Hali ya hewa kupitia akili bandia imekuja kuchukua taarifa ya masuala ya anga kwa kukupa taarifa kamili kuhusu Hali ya hewa.
Kampuni ya deepmind ambayo inamilikiwa na Google wameleta machine language ambayo inaitwa Graphcast yenye kutumia mfumo wa akili bandia kukupa taarifa sahihi zaidi kuhusu utabiri wa Hali ya hewa.
View attachment 2814210
Kupitia Graphcast inakupa uwezo wa kutabiri utabiri wa Hali ya hewa kwa Muda wa siku kumi mbele mfululizo yenyewe inatoa majibu sahihi kuliko mfumo waliokuwa wanatumia kituo Cha ulaya Cha utabiri wa Hali ya hewa wa masafa ya Kati (ECMWF).
View attachment 2814211
Graphcast inafanya mambo yafuatayo[emoji116]
[emoji3502] inakupa taarifa ya siku kumi kuhusu Hali ya hewa
[emoji3502]inakupa taarifa mvua itakayonyesha inachukua mda gani kuanzia labda saa 08:00am mpaka 12:30pm mchana
[emoji3502] inakupa taarifa kuhusu mafuriko, kimbunga, ukame , joto nk.
[emoji3502] itakuambia upepo utapiga kwa dakika ngapi
[emoji3502]tetemeko la ardhi litaweza kutokea kwa mda gani nk.
View attachment 2814212
Kwa sasa Graphcast inachukua hatua kubwa sana ya kutoa utabiri wa Hali ya hewa sahihi kupitia Ai na mamlaka ya utabiri wa Hali ya hewa ulaya wanatumia hii.
Cc #bongotech255 [emoji736]