Mamlaka iiangalie BBC Swahili via Star tv

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Nimesikiliza taarifa ya habari ya BBC Swahili Leo hii saa tatu kupitia Star tv mwandaa maudhui na mtangazaji wake wamepwaya sana hasa kesi ya Lissu walivyoitolea taarifa.

Kila haki nyuma kuna wajibu,BBC wana malengo yao kama taasisi na hili siwalazimishi kubadilika sabu wapo kibiashara,malengo hayo yanasukumwa na sera za kimagharibi juu ya Afrika, mwenye nguvu avurugwe Ili wamtawale indirectly (western politics).

Kitendo cha wao kuwapumbaza baadhi ya waafrika wenzetu kwa kushindwa kutii tamaduni za kijiografia/kikanda na nchi husika kisipelekee kuleta insecurity-kila nchi ina sera zake na zinapaswa ziheshimiwe ukizingatia zinatii haki za binadamu ambazo ndio msingi wa sheria.

4R za mama zilikuwa wazi kabisa lkn mtu anapoibuka na kusema atafanya uhaini nchini atahakikisha nchi inavurugika kwa kukiwasha hasa, ni ukiukwaji wa wajibu wake na mtu akipelekwa mahakamani aliyempeleka anaonekana mbaya wakati kauli ya Lissu alivoitoa kuwa yeye atafanya uhaini hawakuitoa kwenye media zao kuonesha madhara ya kauli ile

Matokeo yake mtu mwenye dhamana ya nchi aliyopewa kisheria na ambaye anawajibika nayo anapotoa msimamo wake eti mwandishi wa BBC anasema anasema "amewakejeli" wanaharakati kwa kuwaambia kuwa Tz Sio shamba la bibi-ndio hivo huyu ni mkuu wa nchi pia ni Rais na ni Amiri jeshi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama anatoa neno kama dira pindi anapoona mambo hayapo sawa sawia

Wito wangu, mamlaka ziangalie namna ya utoaji wa taarifa kwa hivi vyombo vya nje,vinapotosha,vinatweza mamlaka pia kupumbaza wananchi kwa maslahi yao binafsi
 
Na zinasomema uongo kama Wachafu mawingu na wengine ndio mnazipenda kwakua wanawafurahisha matakwa yenu?
 
Ujafurahi bado,,,Utafurah!!

Uyo mama enu atakuwa ndio Rais mwenye legacy mbaya kuliko Marais wote waliowahi kutokea na watakaokuja kutokea
 
Matokeo yake mtu mwenye dhamana ya nchi aliyopewa kisheria na ambaye anawajibika nayo anapotoa msimamo wake eti mwandishi wa BBC anasema anasema "amewakejeli" wanaharakati kwa kuwaambia kuwa Tz Sio shamba la bibi-ndio hivo huyu ni mkuu wa nchi pia ni Rais na ni Amiri jeshi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama anatoa neno kama dira pindi anapoona mambo hayapo sawa sawia
Mkuu,
Huyo mwenye dhamana na hayo yote uliyotaja amefanya nini kuzuia maovu yanayotendeka nchini kama utekaji, mauaji, ufisadi, wizi wa kura, nk?!

Wito wangu, mamlaka ziangalie namna ya utoaji wa taarifa kwa hivi vyombo vya nje,vinapotosha,vinatweza mamlaka pia kupumbaza wananchi kwa maslahi yao binafsi
Bado hamjasema,
Kwa taarifa yako, zama za kudhibiti habari kwa kulisha umma taarifa za uongo, uzushi, upotoshaji na propaganda kupitia vyombo vya KICHAWA kama TBC ulishapita.

Hata kabla ya kusikiliza hiyo BBC au redio/tv yoyote umma huwa wanajua tayari kinachoendelea, tena kwa undani kuliko inavyotangazwa
 
Unalia saa hizi, mbona bado sana. We subiri maji yachemke uone kama sisimizi yeyote atapanua tena domo kuwatukana hao mnaosema mabeberu. Tanzania siyo kisiwa.
Mshaurini huyo mtu wenu kwamba atende haki kwa Watanzania.

Je, wale waliotangaza hadharani kuwa wao ni wauaji, Mafia wamechukuliwa hatua mpaka sasa?
Ipo siku tunaelewana tu.
 
Baba wa kambo vs mzazi wa kibaiolojia😆
 
4R za mama zilikuwa wazi kabisa lkn mtu anapoibuka na kusema atafanya uhaini nchini atahakikisha nchi inavurugika kwa kukiwasha hasa, ni ukiukwaji wa wajibu wake na mtu akipelekwa mahakamani aliyempeleka anaonekana mbaya wakati kauli ya Lissu alivoitoa kuwa yeye atafanya uhaini hawakuitoa kwenye media zao kuonesha madhara ya kauli ile
Weka ushindani wenye uwazi na haki kwenye uchaguzi, ukifichaficha na kuyumbisha mambo unatengeneza maswali
 
Back
Top Bottom