Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,702
- 3,839
Pambana na hali yako, inakupunguzia nini? Wakiwafungia unapata ada za watot, pambana na hali yakoKuna kituo cha runinga kijulikanacho kama Star Swahili kinaonesha filamu zisizoendana na maadili yetu.
Leo jumapili muda huu (saa tisa alasiri) kunafilamu inaonekana watu wanavuana nguo,kuna dada anafanya mambo ya ajabu
Hivi hawa wanaoruhusu hizi filamu zitumike hawana watoto?Wanataka tuwe na taifa la vipi jamani?
Mh.Mwakyembe simama imara hii kansa isienee kwa watoto wetu
Kuna vitu vitatu kimoja wapo lazima vitakua kina kusumbua, 1 labda huna akili vizuri, 2 ni mtumwa wa fikra za kizungu, 3 huna family yani msela msela tu, kuanzia kukua kwako hadi kubalehe hadi sasa.Pambana na hali yako, inakupunguzia nini? Wakiwafungia unapata ada za watot, pambana na hali yako
nasema pambana na hali yako, pambana na hali yakoKuna vitu vitatu kimoja wapo lazima vitakua kina kusumbua, 1 labda huna akili vizuri, 2 ni mtumwa wa fikra za kizungu, 3 huna family yani msela msela tu, kuanzia kukua kwako hadi kubalehe hadi sasa.
Nitakutunana, endeleaKuna vitu vitatu kimoja wapo lazima vitakua kina kusumbua, 1 labda huna akili vizuri, 2 ni mtumwa wa fikra za kizungu, 3 huna family yani msela msela tu, kuanzia kukua kwako hadi kubalehe hadi sasa.
Hakuna tusi jipya utakalotukana mkuu.Nitakutunana, endelea
Ila kabla ya movie wanatoa angalizo kuhusu category ya movie na ni umri gani wanastahili Ku watchAse ni kweli mimi mwenyewe hapa nimeinuka sebuleni nimewaacha watoto wanaangalia, yani ni aibu tupu. Tena nimepata wageni yani tumepata na butwaa hii filamu aise, mi nadhani ni uvivu wa kutunga story. Filamu za kihindi ni ndefu lkn ukuti mambo haya. Ni aibu sana.kwakweli
iko decorder ganiNimeona, nimekimbilia kubadilisha channel! Mbaya zaidi wanajua leo ni Jumapili kawaida family nzima inakuwa home! Nimekasirika sana!