Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,021
- 2,296
Hali ni ngumu na nitete sana usafiri wa mwendo kasi, asubuhi ukipita Kimara Mwisho daraja la Kimara mwisho foleni imejaa Daraja zima mistari mingi, mpaka sehemu ya hizi za kupandia kutoka barabarani ni foleni ya watu.
Jioni hii watu Kariakoo wamejazana ni misururu ya watu mpaka kule kwwnye jengo, Kwanini UDART isikiri kuwa imezidiwa? Ili ipewe msaada?
Mkuu wa mkoa umepita huko makumbusho na vituo vingine, je huku mwendo kasi hapakuhusu?
Watu wanateseka huko, watu zaidi ya miatano kwenye kituo si haki, ongezeni magari