Mamia warejesha kadi za CCM - Kilimanjaro. Umaskini watajwa kama Chanzo cha kukosa imani na chama hicho

Mamia ya wananchi wa jamii ya kimaasai Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa madai yale waliyoahidiwa tangu 2015 hayakutelezwa.

Wamesema ahadi za maji safi, Barabara, hospital na utatuzi wa migogoro baina ya jamii ya wafugaji yamekuwa hadithi huku mbunge wao Mathayo David (CCM) akiongoza kwa miaka 20 sasa.

"Tumeamua kutafuta Mabadiliko kwingine, umaskini umekuwa ukiongezeka, hatuna imani na CCM tena" alinukuliwa kiongozi wa jamii hiyi ya Kimaasai alieongoza wenzake kujiunga na CHADEMA. Wananchi hao wamepokelewa na Kada wa CHADEMA Fredrick Justine, mwenywkiti wa BAVICHA pamoja na Katibu wa BAWACHA kata ya Same Mjini Mh Haicca Ngowi.

View attachment 1522330View attachment 1522331

Hii ndiyo Demokrasia. Uhuru wa watu kufanya maamuzi ili mradi hawavunji sheria.
 
Mamia ya wananchi wa jamii ya kimaasai Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa madai yale waliyoahidiwa tangu 2015 hayakutelezwa.

Wamesema ahadi za maji safi, Barabara, hospital na utatuzi wa migogoro baina ya jamii ya wafugaji yamekuwa hadithi huku mbunge wao Mathayo David (CCM) akiongoza kwa miaka 20 sasa.

"Tumeamua kutafuta Mabadiliko kwingine, umaskini umekuwa ukiongezeka, hatuna imani na CCM tena" alinukuliwa kiongozi wa jamii hiyi ya Kimaasai alieongoza wenzake kujiunga na CHADEMA. Wananchi hao wamepokelewa na Kada wa CHADEMA Fredrick Justine, mwenywkiti wa BAVICHA pamoja na Katibu wa BAWACHA kata ya Same Mjini Mh Haicca Ngowi.

View attachment 1522330View attachment 1522331
Hiari yashinda utumwa...nguvu ya umma imeshaanza kupiga kiki
 
Ndugu zangu ccm kuna malalamiko mengi same magharibi devid mathayo hakubaliki kabsa kamati kuu tuleteeni mtu sahihi kama anjela kairuki
 
Mamia ya wananchi wa jamii ya kimaasai Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa madai yale waliyoahidiwa tangu 2015 hayakutelezwa.

Wamesema ahadi za maji safi, Barabara, hospital na utatuzi wa migogoro baina ya jamii ya wafugaji yamekuwa hadithi huku mbunge wao Mathayo David (CCM) akiongoza kwa miaka 20 sasa.

"Tumeamua kutafuta Mabadiliko kwingine, umaskini umekuwa ukiongezeka, hatuna imani na CCM tena" alinukuliwa kiongozi wa jamii hiyi ya Kimaasai alieongoza wenzake kujiunga na CHADEMA. Wananchi hao wamepokelewa na Kada wa CHADEMA Fredrick Justine, mwenywkiti wa BAVICHA pamoja na Katibu wa BAWACHA kata ya Same Mjini Mh Haicca Ngowi.

View attachment 1522330View attachment 1522331
eh... kibao kinaanza kugeuka dakika za majeruhi?!
 
Hii ndiyo dawa wao wanunue mapapai na kuonana kwa jogoo kwenye ziara zao. Wananchi waseme hapana kwa CCM
 
Back
Top Bottom