Hao mamia si wamtandaoni tu kama mnavyosemaga.Matokeo ya uchaguzi ndio msema kweli, hizi nyingine ni mbwembwe.

Mamia ya wananchi wa jamii ya kimaasai Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa madai yale waliyoahidiwa tangu 2015 hayakutelezwa.
Wamesema ahadi za maji safi, Barabara, hospital na utatuzi wa migogoro baina ya jamii ya wafugaji yamekuwa hadithi huku mbunge wao Mathayo David (CCM) akiongoza kwa miaka 20 sasa.
"Tumeamua kutafuta Mabadiliko kwingine, umaskini umekuwa ukiongezeka, hatuna imani na CCM tena" alinukuliwa kiongozi wa jamii hiyi ya Kimaasai alieongoza wenzake kujiunga na CHADEMA. Wananchi hao wamepokelewa na Kada wa CHADEMA Fredrick Justine, mwenywkiti wa BAVICHA pamoja na Katibu wa BAWACHA kata ya Same Mjini Mh Haicca Ngowi.
View attachment 1522330View attachment 1522331
Hiari yashinda utumwa...nguvu ya umma imeshaanza kupiga kikiMamia ya wananchi wa jamii ya kimaasai Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa madai yale waliyoahidiwa tangu 2015 hayakutelezwa.
Wamesema ahadi za maji safi, Barabara, hospital na utatuzi wa migogoro baina ya jamii ya wafugaji yamekuwa hadithi huku mbunge wao Mathayo David (CCM) akiongoza kwa miaka 20 sasa.
"Tumeamua kutafuta Mabadiliko kwingine, umaskini umekuwa ukiongezeka, hatuna imani na CCM tena" alinukuliwa kiongozi wa jamii hiyi ya Kimaasai alieongoza wenzake kujiunga na CHADEMA. Wananchi hao wamepokelewa na Kada wa CHADEMA Fredrick Justine, mwenywkiti wa BAVICHA pamoja na Katibu wa BAWACHA kata ya Same Mjini Mh Haicca Ngowi.
View attachment 1522330View attachment 1522331
HakikaHiari yashinda utumwa...nguvu ya umma imeshaanza kupiga kiki
Hivi hata kama husikii kuona nako huoni? Issue ya Lissu usipime
eh... kibao kinaanza kugeuka dakika za majeruhi?!Mamia ya wananchi wa jamii ya kimaasai Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa madai yale waliyoahidiwa tangu 2015 hayakutelezwa.
Wamesema ahadi za maji safi, Barabara, hospital na utatuzi wa migogoro baina ya jamii ya wafugaji yamekuwa hadithi huku mbunge wao Mathayo David (CCM) akiongoza kwa miaka 20 sasa.
"Tumeamua kutafuta Mabadiliko kwingine, umaskini umekuwa ukiongezeka, hatuna imani na CCM tena" alinukuliwa kiongozi wa jamii hiyi ya Kimaasai alieongoza wenzake kujiunga na CHADEMA. Wananchi hao wamepokelewa na Kada wa CHADEMA Fredrick Justine, mwenywkiti wa BAVICHA pamoja na Katibu wa BAWACHA kata ya Same Mjini Mh Haicca Ngowi.
View attachment 1522330View attachment 1522331
Cdm bado wanatumia mbinu za EL photo shopping mamvwi aliwafanya kitu mbaya. Kauli zao, DW, BBC na VOA ni hizi maelfu wampokea Lissu., kumbe ni makumi.😇😇😇😇