Mamdenyi: Walau sasa napumua

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Mara baada ya Arushaone kushindwa uzito wa mapenzi na mahabati kutoka kwa Mamdenyi. Mamdenyi ametua kwa mtu mzima Mzee.
Mamdenyi amekiri hadharani kuwa "walau kwasasa anapumua".
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372776103487.jpg
    15.9 KB · Views: 58
Last edited by a moderator:
Mara baada ya Arushaone kushindwa uzito wa mapenzi na mahabati kutoka kwa Mamdenyi. Mamdenyi ametua kwa mtu mzima Mzee.
Mamdenyi amekiri hadharani kuwa "walau kwasasa anapumua".

Asipoikanusha hii habari naomba nipigwe ban
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani ni Mamndenyi wangu kumbe Mamdenyi....ndio yupi huyo?
 
Last edited by a moderator:
Bado nipo nipo kwanza. Japo nasema asante kwa kuonyesha nia. Nipo eda Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…