Mamboz 2 evry1.

Mamboz 2 evry1.

Karibu bibie, endelea kusoma hayo magazeti hapo Erickb52 kaenda kukuchukulia kinywaji.

Jisikie upo nyumbani.
 
Karibu bibie, endelea kusoma hayo magazeti hapo Erickb52 kaenda kukuchukulia kinywaji.

Jisikie upo nyumbani.
Hahahaaaaa nimekuja....
Karibu sana mgeni wetu...
Huyu dada SweetLady mzoee tu.
Karibu
 
Salaluuúúh!
mgeni weye karibu, baada ya kupewa chance ngoja niitumie vizuri.
Sweet Nadia karibu kiti je, ni msosi gani waupenda?
 
Salaluuúúh!
mgeni weye karibu, baada ya kupewa chance ngoja niitumie vizuri.
Sweet Nadia karibu kiti je, ni msosi gani waupenda?

haha akhsante sana me napenda ile mishkaki ya 20,20 tu.lol
 
You are almost welcome to jamii forums the home of great thinkers where we dare to talk openly. I love you too.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom