Kriibu Dogo, mbona unataka kuvua viatu ? Ingia na viatu vyako.
Veranda ndiyo hapo ulipo, mie huku nakochatia chumbani, msalani geuka kushoto kwako,
mwisho ukajitambulishe kwa mjumbe wa mtaa anaitwa Shongoko !

Karibu sana mkuu Musa Salum, tunakutakia maisha mazuri na yenye uvumilivu pia. Uwe na moyo wa jiwe ili uweze kuendana na kaulimbiu ya hayati Charles Darwin isemayo "survival of the fittest". Uwe fiti kweli kweli, kwa mara nyingine nasema karibu sana na jisikie uko Home of Great Thinkers.