Mambo

Mambo

saidikobelo

Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
75
Reaction score
25
Mambo vipi jamaa zangu tujiulize sote hivi mtu anapomuadhibu mwingine mtoa adhabu anataraji kuona nini kinatokea katika watu wawili mpewa adhabu naye anataraji nini tuchangie tu maoni heshima haiuzwi napenda wanaojitambua twende kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumpa mtu adhabu unataraji akuheshimu na pia akuogope sasa je asipokuogopa na asipokuheshimu utachukua hatua ipi kama ni wewe eleza unavyojua


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok mambo haya ndio chanzo cha matatizo yote tunaona watu wamebadilika kimaadili hali sio nzuri vijana hawaambiliki watu wazima wanachetuka sababu ni hizi za adhabu kama unahoja unaweza kunipinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom