Mambo yote mganda! acha kabisa hii ngoma

Daaah mi penda sana hii kitu jamani
 
hivi hili kabila walikuwa wanavaa sare gani kabla ya ujio wa hizo kaptula . soks. viatu nk?
 

Wamenikera kitu kimoja wamevaa sox nyekundu ambazo pia hazifanani na mmoja hajavaa kabisa na wamevaa raba

Mganda wa ukweli ni mashati meupe yaliyopigwa Pasi vema, kaptula zinazoishia magotini nyeupe zilizokolea Pasi, sox safi ndefu nyeupe, neckties nyeusi, mikanda myeusi, na viatu nyeusi vya ngozi vilivyopigwa kiwi vikang'aa hasa, leso nyeupe mkononi na filimbi mdomoni vyote vikifanana kabisa inavutia mno
 

Mkuu walikosa mtu wa kuwanunulia hivyo ndiyo maana wamevaa hivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…