Mambo yetu yalee...! Members only

Mambo yetu yalee...! Members only

nilishasikia warioba anadrink hii kitu...labda ndo mana anabusara sana
 
Wewe utakuwa hivyo mpaka unaingia kaburini, umebahatika sana! Mi nashukuru nimefikia umri huu wewe huutaki basi hutafika jiandae kuukosa from today!
Don't start tripping, come on now.

I am not one of those people who is not looking forward to getting old.

I am happy with my life.

Nilikuwa nakupongeza tu Kiongozi, labda hukunielewa
 
Back
Top Bottom