Mambo yenyewe ndo haya!

Mambo yenyewe ndo haya!

Kwa hawa wanawake wa siku hizi wanaopenda starehe. Kila kitu mpaka afinyiwe kuna tabu. Hapo wenyewe wanaona kawaida sana.

Hata mimi sitaruhusu mwanamke wangu afanye hii kitu kabisa. Acha nionekane mshamba tu
Kwani huwa wanasema kwamba wanakwenda kufanyiwa haya, utawasikia 'nakwenda saluni kutengenezwa'. Kumbe mambo yenyewe balaa tupu!
 
Wanawake wenyewe mapepe
Waliwe tu........
Inauma mkuu hasa akiwa ndo mtu wako halafu ukute jamaa kashikiliwa namna hii anapewa huduma kama hiyo na kwa pesa zako, aaahh we acha tu, unaweza kurusha ngumi!
 
Kwani huwa wanasema kwamba wanakwenda kufanyiwa haya, utawasikia 'nakwenda saluni kutengenezwa'. Kumbe mambo yenyewe balaa tupu!
Hata aibu hawa kabisa aisee
 
Aisee sio kwamba najitia ujasiri ila kuna A,B,C zangu anazojua sipendi na kuna A,B,C zake nazojua hapendi ...sasa wewe legalega halafu siku ya siku aje kusuguliwa hapo kwenye kitanda chako mnacholala wawili
Kila la heri mkuu kwenye hizo A,B,C zitimie kama utakavyo
 
Inauma mkuu hasa akiwa ndo mtu wako halafu ukute jamaa kashikiliwa namna hii anapewa huduma kama hiyo na kwa pesa zako, aaahh we acha tu, unaweza kurusha ngumi!
Mi nishawahi mpa mtu kipondo kisa nomemkuta kashika wowowo la demu angu......
 
Back
Top Bottom