Huwa siwez nikishikwa chini ya vidole vya miguu nasisimka balaa naweza jikojoleaWewe unapata huduma hii?
mjini kuna mambo hapa jamanNdo ilivyo hivyo. Nenda pale mwenge utaona vingi sana. Hii yataka moyo sana. Hebu niambie mazingira kama hayo aisee
Naonaga wanavyofanywa huko tukiwa saluni me siwezi vumilia hayo aiseeUmejuaje?
ila unajua nn mkuu..wale madada huwa wanafanya makusudi kukaa vile kwasabu wanajua kuna baadhi ya watu wenye vipesa vyo wakipita na kuona vile wanawataman na kuanza kuwa track...ukahaba uko wa design nying sana town hapaNdo ilivyo hivyo. Nenda pale mwenge utaona vingi sana. Hii yataka moyo sana. Hebu niambie mazingira kama hayo aisee
ni nomaJamaa anamtekenyesha
Kwani wakifanywa hivyo ndo ametekenywa?Naonaga wanavyofanywa huko tukiwa saluni me siwezi vumilia hayo aisee
Hapana aisee acha ipite mbaliSasa wenzio Kila weekend wanaenda fanyiwa hivi vitu. Ila jikaze siku moja tu
Umeongea ukweli mtupu kaka mkubwa The Boss huyo jamaa anayashika anavyotaka yeyeKinachoumiza kuhusu hii picha utakuta mumewe au boyfriend alizungushwa mwezi mzima kuyashika tu hayo mapaja
huku kijana wa saloon anayachezea wee na kulipwa hela ....kirahisi tu
Mkuu karibu sikuKwani wakifanywa hivyo ndo ametekenywa?
Aisee..!Huwa siwez nikishikwa chini ya vidole vya miguu nasisimka balaa unaweza jikojolea
Haya ila mchuaji awe mwanamama wa nguvu! Sio kama huyoMkuu karibu siku