Mambo yasababishayo wake zetu kutembea na bodaboda

1. Acha kua na bodaboda mmoja
2. Matukio yako ya ujambazi usiende na bodaboda wa mitaa yako...
Nb: bodaboda akishakuzoea mwisho atatoa ramani zako Kwa mkeo, hapo boda anakua kashatengeneza njia ya kutembea na mkeo.
3. Acha mazoea na bodaboda
No 3 ndo mwisho wa huu uzi.
 
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .

Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.

Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.

FANYA hivi .

Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.

Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.

Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.

Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.

Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .

Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,

Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.

Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.

Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.

Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.

View attachment 2995982
Utafanywa bwege, we tafuta ada za watoto
 
1. Acha kua na bodaboda mmoja
2. Matukio yako ya ujambazi usiende na bodaboda wa mitaa yako...
Nb: bodaboda akishakuzoea mwisho atatoa ramani zako Kwa mkeo, hapo boda anakua kashatengeneza njia ya kutembea na mkeo.
3. Acha mazoea na bodaboda
Unazingua
 
Katiba iweke wazi sasa kuwa kuna idadi kubwa ya watu waJamhuri ambao ni wataalamu wa mapenzi na ndoa dunia ijue watalii wamiminike wakiwa na wapenzi wao.
 
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .

Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.

Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.

FANYA hivi .

Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.

Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.

Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.

Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.

Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .

Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,

Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.

Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.

Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.

Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.

View attachment 2995982
Pamoja na kufanya vyote utakuja kujua kuwa
"Don't trust a bitc******h"
 
Wanawake hutoka nje kulipiza kisasi hasa penye usaliti. Hilo ndio kubwa. Ndio maana anaweza akavulimilia kibamia size ya ufutio miaka 50 bila kutoka kama hamna usaliti.
Ukiona unakaribia kumjua mwanamke basi unakaribia kufa
Kuna watu walisomesha kwa mategemeo ya kupendwa zaidi na matokeo yake, walikutana na vitu vizito
 
Mkuu haya mambo unayaelewa

Joyful and happiness

Sisi binadamu tunathamini Sana joyful Ila tunapambania happiness na tukishapata happiness inaondoka muda huo huo na tunaanza kutamani kuwa joy

Hivyo sio mwanamke tu hata mwanaume bado wote hawajui wanataka nini.

Ukikaa na hao bodaboda ,mfano Mimi nilikuwa naishi nyumba moja na bodaboda Ila still yeye na mke wake maisha yalikuwa ni VITA.

Then nilikuwa nakaa na Mzee age 60+ na mkewe 30+ Ila walikuwa wanaishi vizuri Sana .

Hivyo naweza kusema jambo hapa ukiipata Joy basi you can't be trapped with material things.

Joy -ndo ile furaha walioyonayo watoto ambao hawana pesa, nyumba wala gari Ila still wapo happy.

Ila happiness-ndo hii furaha ambayo tukipata gari tunafurahia siku mbili then furaha inapotea n.k so happiness haidumu na haipo exited Ila Joy inadumu na ipo na goosebumps Sana.

Itaendelea...
 
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .

Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.

Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.

FANYA hivi .

Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.

Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.

Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.

Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.

Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .

Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,

Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.

Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.

Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.

Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.

View attachment 2995982
Utapata stress bure kijana. Haya mambo hayana kanuni.
 
Ukiyafanya haya unaitwa sijui "nice guy"....ukiziba kushoto, maji yanatokea kulia!
 
Ata ukimkabidhi ATM kadi yako awe anatoa pesa kwa wakati wowote, hao viumbe hawajui wanacho taka au wataka nikupe matukio yao mbalimbali.
You nailed it all, hawatabiriki
 
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .

Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.

Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.

FANYA hivi .

Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.

Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.

Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.

Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.

Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .

Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,

Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.

Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.

Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.

Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.

View attachment 2995982

Hawa wanawake ni kuwaacha wafanye wanavyoona ni sawa.
 
Back
Top Bottom