Mambo yasababishayo wake zetu kutembea na bodaboda

Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .

Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.

Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.

FANYA hivi .

Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.

Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.

Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.

Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.

Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .

Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,

Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.

Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.

Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.

Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.

View attachment 2995982
Hv bado kuna kada ya, watu inasumbuliwa na kugongewa na bodaboda!?
Wakuu mnatafuta pesa, saw ngapi,? Mi nikijua mama yoyo kapitiwa, na njemba, mi na pita na mdogo wake, kitaa kuna warembo kibao Vito to vya 2000+,
 
Mkuu haya mambo unayaelewa

Joyful and happiness

Sisi binadamu tunathamini Sana joyful Ila tunapambania happiness na tukishapata happiness inaondoka muda huo huo na tunaanza kutamani kuwa joy

Hivyo sio mwanamke tu hata mwanaume bado wote hawajui wanataka nini.

Ukikaa na hao bodaboda ,mfano Mimi nilikuwa naishi nyumba moja na bodaboda Ila still yeye na mke wake maisha yalikuwa ni VITA.

Then nilikuwa nakaa na Mzee age 60+ na mkewe 30+ Ila walikuwa wanaishi vizuri Sana .

Hivyo naweza kusema jambo hapa ukiipata Joy basi you can't be trapped with material things.

Joy -ndo ile furaha walioyonayo watoto ambao hawana pesa, nyumba wala gari Ila still wapo happy.

Ila happiness-ndo hii furaha ambayo tukipata gari tunafurahia siku mbili then furaha inapotea n.k so happiness haidumu na haipo exited Ila Joy inadumu na ipo na goosebumps Sana.

Itaendelea...
Leta muendelezo
 
Katiba iweke wazi sasa kuwa kuna idadi kubwa ya watu waJamhuri ambao ni wataalamu wa mapenzi na ndoa dunia ijue watalii wamiminike wakiwa na wapenzi wao.
Waje tu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .

Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.

Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.

FANYA hivi .

Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.

Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.

Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.

Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.

Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .

Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,

Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.

Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.

Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.

Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.

View attachment 2995982
Wavulana ni wajinga na wapumbavu. Unadhani ndoa ni girlfriend na uboyfriend?! Oa kwanza, baada ya miaka 10 ya ndoa tuone kama utakuja na hii riwaya.
 
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .

Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.

Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.

FANYA hivi .

Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.

Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.

Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.

Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.

Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .

Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,

Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.

Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.

Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.

Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.

View attachment 2995982
Mnahangaika bila kujua.....!

Mfanye Mke wako awe Mtu wa maombi, na wewe mwenyewe pia....! Vita ni kubwa kwenye Ulimwengu wa Roho, bila Mungu ni kazi bure...!

Mpe mwanamke Zawadi kila sekunde, atampa Moyo wake mtu ambaye hana hata hiyo pesa ya kumnunulia zawadi.

Mwandikie message kila sekunde, bado kuna mtu alishawekeza Moyo kwake huko nje...!

Maombi tu yatamfanya mkeo atulie, piga Goti omba kwa Mungu, Mungu atasimamia Ndoa yako....!

Nje ya hapo subiri zamu yako ya Maumivu.
 
Mwanamke hafurahishwi, jinsi utakavyokuwa karibu sana na mkeo na kumpa mahitaji yake yote anayotaka ndiyo namna anavyokuchukulia wewe ni bwege na mpumbaf.
Utamnunulia gari ila fundi wa gereji atakuwa anapewa mzigo kiulaini kama shukrani
 
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .

Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.

Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.

FANYA hivi .

Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.

Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.

Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.

Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.

Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .

Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,

Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.

Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.

Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.

Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.

View attachment 2995982
Hata hao bodaboda wanagongewa wake zao tu
 
Ndio mana kataa ndoa wanatuona sisi kubali ndoa mabwege sana, sasa ndio nini hii? Ushaambiwa hawana formula ishi nao kwa akili. Unaweza ukamfungulia duka la ml 20 halafu akagawa uroda kwa mteja anayemwachia keep change ya 2000.
Shemeji yangu mmoja wako njema kiuchumi, ila akawa anapigwa mashine na jamaa anauza nyama ya ngo'mbe, ana kibucha chake kimoja uchwara. Siku naingia baa moja ya uchochoroni namkuta jamaa kamtight shemeji, nikahama kijiwe na sikuwahi kufungua mdomo wangu.

Mwingine mme wake ni mkuu wa taasisi moja ya elimu ya kati, mke wake madogo wanachuo wanajipigia tu. Na hapo kapewa hadi kigari cha kutembelea na pesa ya matumizi si haba, bado hadi dogo wa saloon wanaowatengeneza hizo dread rock (rasta) zao anakula mbunye kilaini tu.

Kuna jamaa yangu yeye alishaamua kumuachia mke wake uhuru wa kugegedwa, kwani yule mwanamke anapepo la ngono. Tukiwa baa tunapiga pombe jamaa anasema anajua kila kitu ila ashaamua kumuacha afanye anavyotaka.

Kuna wanawake hawaeleweki wanataka nini kwenye maisha, ukiwaendekeza waweza ishia jela maisha au ukapoteza kila kitu ulichochuma. Hakuna kanuni iliyo sahihi ya kuishi nao kabisa.
 
Back
Top Bottom