Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,938
- 2,081
Endelea kujidanganya!! Kuna mwana alikuwa anapiga mke wa naibu waziri kama kalipa mahari yeye na anakuja na ndinga ya bosi
Na wanawake hujielewa ila 90% hawajitambui.Mwanamke anayejitambua hawezi kukusaliti
Ila hilo la shemeji yako kaka unaona sahihi kukaa kimya pasi na kumjuza nduguyo!?Shemeji yangu mmoja wako njema kiuchumi, ila akawa anapigwa mashine na jamaa anauza nyama ya ngo'mbe, ana kibucha chake kimoja uchwara. Siku naingia baa moja ya uchochoroni namkuta jamaa kamtight shemeji, nikahama kijiwe na sikuwahi kufungua mdomo wangu.
Mwingine mme wake ni mkuu wa taasisi moja ya elimu ya kati, mke wake madogo wanachuo wanajipigia tu. Na hapo kapewa hadi kigari cha kutembelea na pesa ya matumizi si haba, bado hadi dogo wa saloon wanaowatengeneza hizo dread rock (rasta) zao anakula mbunye kilaini tu.
Kuna jamaa yangu yeye alishaamua kumuachia mke wake uhuru wa kugegedwa, kwani yule mwanamke anapepo la ngono. Tukiwa baa tunapiga pombe jamaa anasema anajua kila kitu ila ashaamua kumuacha afanye anavyotaka.
Kuna wanawake hawaeleweki wanataka nini kwenye maisha, ukiwaendekeza waweza ishia jela maisha au ukapoteza kila kitu ulichochuma. Hakuna kanuni iliyo sahihi ya kuishi nao kabisa.
Daaah!Endelea kujidanganya!! Kuna mwana alikuwa anapiga mke wa naibu waziri kama kalipa mahari yeye na anakuja na ndinga ya bosi
Msongo wa mawazo, kichwa cha nguruwe mkia wa samaki. Nimesoma uzi zaidi ya mara mia sijaona bodaboda akipita na bodaboda yake.Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .
Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.
Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.
FANYA hivi .
Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.
Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.
Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.
Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.
Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .
Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,
Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.
Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.
Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.
Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.
View attachment 2995982
Mkuu maisha ya wanandoa huwa kuna vitu inabidi ukae kimya. Kuna watu huwa wanamwambia jamaa yangu yeye anawajibu kama vile hajali, mwisho wa siku mnashangaa mke wake kalianzisha kwa watoa taarifa.Ila hilo la shemeji yako kaka unaona sahihi kukaa kimya pasi na kumjuza nduguyo!?
Huoni kama umemuacha nduguyo kwa pembe mbaya!?
Tafuta namna ya kumjuza jamaa namna ambayo itakua jengefu.
Sasa huyo sio wa kumwambia,ni wa kumuwekea evidence na kusepa basi.Mkuu maisha ya wanandoa huwa kuna vitu inabidi ukae kimya. Kuna watu huwa wanamwambia jamaa yangu yeye anawajibu kama vile hajali, mwisho wa siku mnashangaa mke wake kalianzisha kwa watoa taarifa.
Na maisha yao yanakwenda mkuu, mwamba yeye alishaamua kukubali matokeo.Sasa huyo sio wa kumwambia,ni wa kumuwekea evidence na kusepa basi.
Ila kama jamaa anajuzwa ila haambiliki basi muache ale jeuri yake.
Naunga mkono hojaNa wanawake hujielewa ila 90% hawajitambui.
Ila hujitambua mara moja moja.
Kwamba pikipiki inao uwezo wa ajabu wa kumbadilisha mwendeshajiHii iwafikie wote waliooa na kataa Ndoa.
Na wanawake wakipanda wanajibinuaKwamba pikipiki inao uwezo wa ajabu wa kumbadilisha mwendeshaji
Kaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .
Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi Sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.
Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.
FANYA hivi .
Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.
Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.
Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.
Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.
Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo .
Akivaaa msifie kua kapendezea katokelezea ,
Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa ,Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.
Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out ,tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.
Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.
Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.
View attachment 2995982
huwajui wanawake weweKaka zangu nawajuze Jambo moja jepesi Sana .