george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,035
Kaka zangu nawajuze jambo moja jepesi Sana.
Huwa wanawake huridhika na Mambo madogo madogo ambayo ndio wanaume wengi sana na hayo ndio humfanya Mwanamke kuteseka Sana.
Mwanamke akikupenda amekupenda hajui maigizo.
FANYA hivi:
Ukiwa mbali nae mpigie simu mjulie hali yake anaendeleaje.
Ukirudi mletee kazawadi japo kdogo ataridhika.
Mtumie sms kila Mara kumjulia hali atakama mnaishi nyumba moja.
Mapenzi yanajengwa kwa mawasiliano Bora naukaribu mzuri.
Akiwa kakasirika kwa namna yoyote mfariji na kumtia moyo.
Akivaaa msifie kuwa kapendezea katokelezea.
Akisuka msifie kua kapendezea huo mtindo unamtoa haswaa. Kama unao mtindo wakusuka unaupenda mpe hela asuke utona ananenepa bila kula.
Atakama upo bize kiasi gani siku moja moja toka nae out, tembea nae njiani kila mtu aone mtoko wenu.
Usiwe na mtoko mmoja mbele mwingine nyuma mpenzi sio bangi hushikwi na mtu.
Huyo nimali yako ili ikae salama inataji ulinzi wa Mambo Kama hayo niliokuelezea.