Mambo yangu ya Graphics

Mambo yangu ya Graphics

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
ninafanya graphics
nadesign picha
natengeneza banners,logo,dvd cover designing,posters za mabango ya matangazo n.k
nshatengeneza posters za barnaba na diamond kma hiyo kwenye picha
ofic zangu ziko mwanza but waweza nitumia kaz unayotaka as soft copy na kukutumia,ukihitaj huduma kat ya hizo,ni PM or nicheck hapa
0762052850
 
Mwanza kubwa .... office yako iko maeneo gani? hebu elezea....then uache ushabiki kwa diamond.
 
Kaka, upo vizuri sana ... hongera n' keep it up, take negativities as a challanges! Ndo maana ikaitwa graphic design Ringo Edmund , hebu tuwekee za kwako tuzione .....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom