Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Kutoa hoja yangu kwa mtu ambaye akili yake na ubongo wake ushachukuliwa ni kama laanaHoja yako ni ipi ndugu? Rudi kwenye mada.

Kweli wewe in zero na ishu za uchumi, mnaipa nguvu Tsh wakati hamna mnachozalisha na kuuza nje,kwa maana nyingine mnapimana ubavu na USA,waulize waturuki wanaowajengea SGR walitaka kupimana ubavu na US kilichowakuta wamekoma,ije kuwa nyie kajamba nani?Ama kwa hakika kasi ya awamu ya tano si tu inaridhisha bali itatufikisha tunapotaka.
Control ya matumizi ya dola kwa manunuzi ya ndani ya nchi ni muhimu sana kuipa thamani fedha yetu.
Wapo wasioitakia mema nchi yetu ila Rais wetu anafanya mambo sahihi kabisa , japo katika mchakato wa kufika tunapotaka lazima ziwepo kelele,lakini hakuna mchakato usiokuwa na maumivu.
Chuma ili kiwe bora lazima kipitie kwenye moto mkali, jipu ili lipone lazima litumbuliwe.
Ili uchumi uonekane kmnufaisha mtanzania wa kawaida lazima tuipe fedha yetu nguvu, na hili la kudhibiti dola ni muhimu.
Ukienda nchi za huko nje nyingi kwakweli matumizi ya dola kwa ndani ni limited, sio dola tu hata cash. Hivyo sisi sio wa kwanza katika hili, bali tumechelewa mno. Inahitajika tukimbie.
Ni bora ya matusi kuliko mlivyojibu hoja za Ben Saanane kwa kumtosa kwenye chatu,mkajibu hoja za Mawazo kwa kumuua na mapanga,mkajibu hoja za Tundu Lissu kwa risasi 38.Matusi ni ishara ya kuishiwa hoja, hoja hujibiwa kwa hoja.
Kachukue buku saba yakoAma kwa hakika kasi ya awamu ya tano si tu inaridhisha bali itatufikisha tunapotaka.
Control ya matumizi ya dola kwa manunuzi ya ndani ya nchi ni muhimu sana kuipa thamani fedha yetu.
Wapo wasioitakia mema nchi yetu ila Rais wetu anafanya mambo sahihi kabisa , japo katika mchakato wa kufika tunapotaka lazima ziwepo kelele,lakini hakuna mchakato usiokuwa na maumivu.
Chuma ili kiwe bora lazima kipitie kwenye moto mkali, jipu ili lipone lazima litumbuliwe.
Ili uchumi uonekane kmnufaisha mtanzania wa kawaida lazima tuipe fedha yetu nguvu, na hili la kudhibiti dola ni muhimu.
Ukienda nchi za huko nje nyingi kwakweli matumizi ya dola kwa ndani ni limited, sio dola tu hata cash. Hivyo sisi sio wa kwanza katika hili, bali tumechelewa mno. Inahitajika tukimbie.
Hiyo uliyotoa sio hoja ni kioja.Matusi ni ishara ya kuishiwa hoja, hoja hujibiwa kwa hoja.
Ama kwa hakika kasi ya awamu ya tano si tu inaridhisha bali itatufikisha tunapotaka.
Control ya matumizi ya dola kwa manunuzi ya ndani ya nchi ni muhimu sana kuipa thamani fedha yetu.
Wapo wasioitakia mema nchi yetu ila Rais wetu anafanya mambo sahihi kabisa , japo katika mchakato wa kufika tunapotaka lazima ziwepo kelele,lakini hakuna mchakato usiokuwa na maumivu.
Chuma ili kiwe bora lazima kipitie kwenye moto mkali, jipu ili lipone lazima litumbuliwe.
Ili uchumi uonekane kmnufaisha mtanzania wa kawaida lazima tuipe fedha yetu nguvu, na hili la kudhibiti dola ni muhimu.
Ukienda nchi za huko nje nyingi kwakweli matumizi ya dola kwa ndani ni limited, sio dola tu hata cash. Hivyo sisi sio wa kwanza katika hili, bali tumechelewa mno. Inahitajika tukimbie.
Mkuu hapa tunajadili swala la usahihi wa matumizi ya dola ndani ya nchiNi bora ya matusi kuliko mlivyojibu hoja za Ben Saanane kwa kumtosa kwenye chatu,mkajibu hoja za Mawazo kwa kumuua na mapanga,mkajibu hoja za Tundu Lissu kwa risasi 38.
Pathetic
Naunga mkono hoja, Tanzania tunaelekea kuwa nchi ya ahadi, tutafikia kipindi mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali.Ama kwa hakika kasi ya awamu ya tano si tu inaridhisha bali itatufikisha tunapotaka.
Control ya matumizi ya dola kwa manunuzi ya ndani ya nchi ni muhimu sana kuipa thamani fedha yetu.
Wapo wasioitakia mema nchi yetu ila Rais wetu anafanya mambo sahihi kabisa , japo katika mchakato wa kufika tunapotaka lazima ziwepo kelele,lakini hakuna mchakato usiokuwa na maumivu.
Chuma ili kiwe bora lazima kipitie kwenye moto mkali, jipu ili lipone lazima litumbuliwe.
Ili uchumi uonekane kmnufaisha mtanzania wa kawaida lazima tuipe fedha yetu nguvu, na hili la kudhibiti dola ni muhimu.
Ukienda nchi za huko nje nyingi kwakweli matumizi ya dola kwa ndani ni limited, sio dola tu hata cash. Hivyo sisi sio wa kwanza katika hili, bali tumechelewa mno. Inahitajika tukimbie.
Unasema......!!!!!??????Naunga mkono hoja, Tanzania tunaelekea kuwa nchi ya ahadi, tutafikia kipindi mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali.
P