Mambo yanazidi kuwa mazuri awamu ya tano

Mambo yanazidi kuwa mazuri awamu ya tano

BOT imechelewa sana kucontrol na kuoversee operations za Burau de change. Huko kuna money laundering na ufichaji wa dola ili kuongeza hitaji.uhalifu huu huchangia sana kushusha dhamani ya fedha za Tz.
Such control should be done regulary. Sheria inataka burau isajiliwe na BOT kama ya kuanza operation. Kama kuna burau zilikuwa hazijasajiliwa, basi BOT wawajibike kwa uzembe huo ktk kuenforce the law.
Note: Wanaopiga kelele kupinga hatua za kisheria zilizochukuliwa na serikali za kufunga burau hizo, ni wakuwasamehe bure, hawajua mifumo ya sheria za mabenki na taasisi za kibenki.
 
Kwa kuongezea tu kuna baadhi ya bureau zilitumika kwa biashara tofauti na leseni zake; unakuta mbele ni bureau huko nyuma kuna mambo yanaendelea; watu wanachoma dhahabu.
 
Ama kwa hakika kasi ya awamu ya tano si tu inaridhisha bali itatufikisha tunapotaka.

Control ya matumizi ya dola kwa manunuzi ya ndani ya nchi ni muhimu sana kuipa thamani fedha yetu.

Wapo wasioitakia mema nchi yetu ila Rais wetu anafanya mambo sahihi kabisa , japo katika mchakato wa kufika tunapotaka lazima ziwepo kelele,lakini hakuna mchakato usiokuwa na maumivu.

Chuma ili kiwe bora lazima kipitie kwenye moto mkali, jipu ili lipone lazima litumbuliwe.

Ili uchumi uonekane kmnufaisha mtanzania wa kawaida lazima tuipe fedha yetu nguvu, na hili la kudhibiti dola ni muhimu.

Ukienda nchi za huko nje nyingi kwakweli matumizi ya dola kwa ndani ni limited, sio dola tu hata cash. Hivyo sisi sio wa kwanza katika hili, bali tumechelewa mno. Inahitajika tukimbie.
Shilingi ya Tanzania imepoteza thamani kwa zaidi ya shilingi mia moja ndani ya wiki moja.

Hiyo ndiyo inakupa raha? Wewe umetawaliwa na roho ya umaskini na kushindwa. Ndio maana unapata furaha thamani ya fedha za watanzania zikishuka.

Ukaombewe hiyo laana ya umaskini ikutoke.
 
Kwakweli,
Hapa ndipo huwa naamini.
Kiharusi ni gonjwa hatar sana.
 
Back
Top Bottom