Mambo yanazidi kuwa mazuri awamu ya tano

Ama kwa hakika kasi ya awamu ya tano si tu inaridhisha bali itatufikisha tunapotaka.

Control ya matumizi ya dola kwa manunuzi ya ndani ya nchi ni muhimu sana kuipa thamani fedha yetu.

Wapo wasioitakia mema nchi yetu ila Rais wetu anafanya mambo sahihi kabisa , japo katika mchakato wa kufika tunapotaka lazima ziwepo kelele,lakini hakuna mchakato usiokuwa na maumivu.

Chuma ili kiwe bora lazima kipitie kwenye moto mkali, jipu ili lipone lazima litumbuliwe.

Ili uchumi uonekane kmnufaisha mtanzania wa kawaida lazima tuipe fedha yetu nguvu, na hili la kudhibiti dola ni muhimu.

Ukienda nchi za huko nje nyingi kwakweli matumizi ya dola kwa ndani ni limited, sio dola tu hata cash. Hivyo sisi sio wa kwanza katika hili, bali tumechelewa mno. Inahitajika tukimbie.
umenena vyema mkuu kuna watu wamejifanya hawajui miruzi mingi na makelele imewajaa mimi binafsi hatua ilizozichukua serikali zinafaa kupongezwa kwa kila mtu anayeitakia mema nchi yetu !huyo huyo huyo huyo jpm songa mbele wenyeuelewa wanajuwa unachokifanya,wale wazee wakuruka maji hata kama kuna mamba wengi hawawezi kukwelewa kamwe
 
Wanaelewa sana mkuu, ila kwakua biashara yao ni kuwa wapinzani, hivyo ni lazima waseme ili kuendelea kuwa sokoni.
 
sawa wafanye kila linalowezekana kuilinda shilingi yetu hata kama watakutana ugumu wa aina gani
 
Huyo hajaenda nje ya Tz hawezi jua maana yake ya Dolla kutumika visivyo.
Hao wanaosubiri kauli za mwenyekiti kuelewa mambo kama haya ni ngumu sana.
 
lakini hakuna mchakato usiokuwa na maumivu.

Chuma ili kiwe bora lazima kipitie kwenye moto mkali, jipu ili lipone lazima litumbuliwe.

Kwa hiyo unakiri kuna maumivu. Sasa mauumivu mpaka 2018 hii inaisha, maumivu haya unajua yataisha lini? Kama unakiri hilo basi acha watu walalamike usiwabeze bali wape moyo na uwafariji wewe unayejua kuwa huko mbele yatakuwa mazuri.
 
Huu uzi Naona wanapeana like Stroke na Isis ,Stroke una wazo zuri tafuta mtaalam akusaidie weka hoja vizuri. Vinginevyo unaingusha kambi yako.
 
Ama kwa hakika kasi ya awamu ya tano si tu inaridhisha bali itatufikisha tunapotaka.

Control ya matumizi ya dola kwa manunuzi ya ndani ya nchi ni muhimu sana kuipa thamani fedha yetu.

Wapo wasioitakia mema nchi yetu ila Rais wetu anafanya mambo sahihi kabisa , japo katika mchakato wa kufika tunapotaka lazima ziwepo kelele,lakini hakuna mchakato usiokuwa na maumivu.

Chuma ili kiwe bora lazima kipitie kwenye moto mkali, jipu ili lipone lazima litumbuliwe.

Ili uchumi uonekane kmnufaisha mtanzania wa kawaida lazima tuipe fedha yetu nguvu, na hili la kudhibiti dola ni muhimu.

Ukienda nchi za huko nje nyingi kwakweli matumizi ya dola kwa ndani ni limited, sio dola tu hata cash. Hivyo sisi sio wa kwanza katika hili, bali tumechelewa mno. Inahitajika tukimbie.
naona umeamua kumtukana mwenyekiti wako wa CCM live bila chenga.
 
Umelipwa shilingi ngapi kutoa support kwa Usenge unaofanyika?
 
Mtoa post najua hujatumwa na mtu yeyote kuandika haya bali ndo mwisho wa uelewa wako. Ndo elimu uliyopewa ili usifie kila kitu hata kama kinakuumiza wewe na wenzako.
Uko sawa kabisa.
 
Mkuu kama ni kweli wewe ndiye ulieandika hiki, basi sinashaka kabisa kuwa elimu yangu inaafadhali kuliko ya kwako.
 
Jana nlikuwa arusha kuna wazungu walikuwa wanataka kuchange dolar,mfukoni walikuwa na buku tu,me nkawaambia ntawachangia but 1dolr kwa buku na miatano na mfukoni nlikuwa nakama laki 8,hope unajua nlikula dola ngapi na sie mie tu ni wengi wameanza kuneemeka now
Thanks tz neema tunanza kuiona
 
Mkuu kama wewe unalipwa kutukana, usidhani na wenzako pia wanalipwa kuandika mazuri wanayoyaona.
Unafanana kabisa na ID yako
Una stroke kwenye ubongo wako,unatakiwa ukafanyiwe scanning hivyo virusi vya upuuzi vitoke.
Libaba lizima na midevu yake linasifia ufala unaotendeka kisa ushabiki,shame on you!!!!
 
Hoja yako ni ipi ndugu? Rudi kwenye mada.
 
Back
Top Bottom