Mambo yanazidi kuongezeka ccm, Who is Next?

Tangu nchimbi apokonywe simu kuna watu wengi sana watakufa vifo vya utata na kushtukiza 😄 😄
Huoni wamewabadilisha makatibu wa CCM mikoa? Wengine wametupwa nje, DC, DAS, etc wamehamishwa na wengine kutupwa nje. Yaani ni kufuta kabisa wafuasi wa Nchimbi.
Kazi ipoo
 
Huoni wamewabadilisha makatibu wa CCM mikoa? Wengine wametupwa nje, DC, DAS, etc wamehamishwa na wengine kutupwa nje. Yaani ni kufuta kabisa wafuasi wa Nchimbi.
Kazi ipoo
Kumbe Nchimbi alikuwa na nguvu sana
 
Yani Ma CHADEMA mnakuwaga Majinga Majinga tu . Kwa hiyo Ninyi Mnajiona Ni Mawe na Miamba Mtakaoishi Milele ? Je ninyi Hamfi? Je hamtakufa?

Nawachukieni sana CHADEMA

Kifo ni kifo bibie.

Nenda kamalizie eda kwanza ndio urudi kwenye mitandao maana bado uchungu wa kufiwa mume umekujaa.
 
Yani Ma CHADEMA mnakuwaga Majinga Majinga tu . Kwa hiyo Ninyi Mnajiona Ni Mawe na Miamba Mtakaoishi Milele ? Je ninyi Hamfi? Je hamtakufa?

Nawachukieni sana CHADEMA
Watakuwa wanaona yale mauwaji ccm walifanya hii sasa Mungu anawaoneshe hii dunia sio mali ya ccm.kumbuka yale maelf ya watoto walieuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…