dah inaboa sanani kero kubwa sana...mim hukerwa hata kwenye simu yananikwaza, kwanini mtu usiandike neno linaloeleweka. hayo maneno ya mkato mkato tuwaachie watoto wa shule wanataka kuonyesha kwa wenzao utaalamu na ujuzi wa kufupisha
some times unakua kauzu,maana kuna wanaojihisi wao humu wana passport!!ukiwa mpole watakuonea sana
lol,sasa ningeuchuna?
lol!mmenishika pabaya
1.Mtu akipost thread hata kama ya msingi kuna baadhi ya members wanaigeuza kuwa genge la kunywa kahawa
mf:kupiga story tofauti na mada husika lengo la thread mpaka linapotea
2.Watu hawaheshimu mawazo ya watu;Mfano,ooh umepost upupu,unawaza kwa kutumia organ ya mwili,umetumwa e.t.c
3.Thread imenoga,jinsi unavyochangia ndo jinsi PM zinavyoingia mpaka browsing inaenda slow.
4.wengine wanatumia ufupisho wa ajabu mpaka unashindwa kuelewa,mf.sasa anaandika xaxa,sisi anaandika cc.
5.Huku ukieleza kuhusu facebook utapondwa ila 99% wanazo account za facebook.
6.Members wapya wanajua kila jukwaa,wanawajua members wa siku nyingi wanaochangia mada na mbinu za kuwafuatilia.
7.Mtu anapost thread halafu haonekani tena na hujui hata kama ameridhika na ushauri au majibu.
8.Watu wataponda kuhusu thread uliyopost but hawaachi kuchangia,kama wamelazimishwa vile kuponda wengine.
9.Kutafuta ban makusudi ili ujulikane humu
ongezea na mengine yanayokukera
Hizo points zote ni za kweli,ila hilo kundi huwa linapinga kila kitu hata iwe kwa manufaa ya umma,but Mwita ye ni mwelewa10.Thread za wachovu na wasiofikiri wakiongozwa na Faizafoxy na group lake la magamb kama malaria sugu,Mwita25,Rejao nk
11.Mods kuunga threads ambazo wanadhani zina mahudhui yanayofanana wakati sometimes sio sahihi..
12.Watu kupost thread jukwaa lisilosawa mfano michezo kwenye jukwaa la siasa...
13.Watu wanaochangia kama mlevi..mfano "napita" nk
14.Sioni threads za kudai Tanganyika yetu,na zikianzishwa sijui kuna Mods Mzanzibar anazitupilia mbali au kuzificha...
Khaaa!
Huo sasa ni zaidi ya upendeleo.
:juggle::juggle::juggle::nerd:
lol!mmenishika pabaya
Bora hata umecheka nikaona meno yako. Kakikusumbua tena haka kadogo kangu uniambie nikafinye maskio, sawa eeh?
sio uongo mkuu avatar ya jicho na kiwembe hata mimi siipendi kwa kweli.kuna zile avatars za nyoka halafu mtu kaweka kiwembe kwenye jicho halafu jicho linatoa damu,dah kinanikera balaa