Mambo yanayoleta laana

Em tuletee tajiri ambae hakupitia mateso makali kwenye utaftaji wake utakuja kujua kua maisha sio rahisi yanachangamoto nyingi tu.
 
Hata wachina, wakorea na wa Japan walipitia mengi ya haya mambo wakati hawajajipata kabla hawajagundua landcruser, samsung, walikuwa na, umaskini wa kutisha, wao wakatumia bongo, mkorea akapereka vijana wasome MIT USA, wakarudi nyumbani wakatengeneza simu ya samsung!
Vijana wa kikorea hawa ku opt kuwa "ma pastor" Ili wakusanye sadaka kama kina Kapola, mwamposa, walitumia bongo, sayansi, Leo hii nchi Ina ukwasi,
Uliyoyataja hapo sio vyanzo ni dalili za uchumi uduni, umaskini ni matokeo ya Sera mbovu za nchi, yaliyopo hapo, yanatokea jamii za kimaskini, dawa ni Uchumi bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…