mambo yanavyo kwenda ............

RIVI SHIRIMA

Member
Jan 22, 2012
31
2
ni kweli kipindi cha mwalimu tuliaminishwa kwamba kiongo wa nchi hii lazima awe mzee tena mzee wa makamu km 2navyo waona senor leader from chama tawala sina iman km ndio sera zao na chama chao zinasema ivo,
uzee ulivyo kuwa unatazamwa lazma uwe na mvi za kutosha ,umri walikuwa hawa angalii skill na utaalam unaokuweka hapo unapostahili leo hii wameanzisha systm mpya jee unaifaham!
Kweli wazee hawa wamejitahidi na kufanya mapinduzi tena ya aina yake nakutufanyia maisha magumu kwa watoto wa wakulima na wachomam makaa mfano kuomba kazi lazima uwe una mfaham nani na sio unafaham nn:lazima jina lako liwe lina fanana na la mzee ambaye alisha tawala katika kaya hii.. Vile vile kinachontoa nishai kabisa lazima uwe na urafiki na mtoto wa kigogo yeyote akusaidie kupiga cm ofis husika angalao watkufikiria
basi km chama tawala ccm kingekuwa mtu nami ni dactri ningekichoma sindano ya ngombe tena yenye cm ili ife
Kwa sababu life span iko karibu sawa na ya mwanadam mtanzani sipatisha mkomboz yu aj
Mungu ibariki tanzania
Mungu wabariki watanzani
AMINA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom