Mambo yanapoharibika.

misuli ya kwenye kabaang haina nguvu tena lol
 
Reactions: awp
Ni aibu kabisa lakini menyewe anaonesha hakujali sana
 
Nadhani alikaa kitako sehemu yenye uchafu...angekuwa kuwa kajiharishia kungekuwa na patterns mithili ya mistari ya kontua...
 
Inanikumbusha mbali sana wakati nipo la kwanza rafki yangu alinilamikia anaumwa na tumbo nikamwambia kaombe ruhusa kwa mwalim si akakataliwa bana maskin baada ya dakika 5 kamwaga vitu pale pale nilimuonea huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…