Mambo yamekuwa taiti sana!!

Watz bwna hatupendi watu hawaendi kwenye mikutano wanaenda kupiga kura tu
 
Hapana mkuu. Hao ni wananchi waliojitokeza kwenye kampeni za Ubunge jimbo la chalinze.

Kwa mtindo huu mpaka hawa watoto wakue wafike age 18 bila kubadirika itikadi zao ndiyo hiki chama kitashinda jimbo hili.
 
Lo!! ni ukweli huu au imefanyika photoshop? Hata zile 20% ya kura zitafika hapa? Watoto hawa wazazi wao wapo wapi.....!!?
Mkuu hakuna photoshop hapo, hilo jimbo ni gumu kwa CDM ndo mana mambo yamekuwa hivyo.
 
Sa kile kisingizio cha 'kura zimeibiwa' itakuaje.?Kwa umati huu wa chekechea itaaminika kweli..!?
mmnh ..natafakari tu!!!
 
Halafu naendelea kutafakari!...Hivi kweli kuna haja ya kuingia gharama kuungurumisha Chopa hapo!!...kwa umati huu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…