Nemean lion
Member
- Jan 2, 2020
- 25
- 13
Heri ya Mwaka Mpya wana- Mmu. Imenibidi nitafute ID mpya ili nijielezee vizuri mana original ni verified. Stori inaanza hivi:
Baada ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mahusiano nikaja na wazo kwamba kama mtu sio mkeo it’s better to have backup plan, yaani plan B. Namaanisha nakuwa na mpenzi yule ambaye nahisi we have a future alafu pembeni kuna mwingine just in case..
Hii kitu haimaanishi kwamba sina mapenzi ya kweli, hapana (I have come a long way kufikia huu uamuzi). Ni baada ya kutemwa mara kama mbili hivi, tena nikiwa katika kipindi kigumu; stori za vijana wenzangu na kushuhudia usaliti wa viwango vya juu .
Sasa kilichonifanya nije humu ni kwamba mwaka 2017 nilimaliza chuo baada ya kupambana Dar pakashindikana ikabidi nikimbie mkoa. Mungu mkubwa sikukaa hata wiki nikafanya interview ya kwanza na nikapata kazi ambayo nilitakiwa nianze 2018 January. Mwaka huo huo 2017 mwishoni nikakutana na mrembo nimemzidi mwaka mmoja, hivyo 2018 kazi na mahusiano vikaanza pamoja (just like that).
Nimefanya kazi miezi kama saba hivi nikaamua kutafuta PC mpya (ile ya chuo nilimhonga Mcoet) nikaingia online nikapata ninachokita nikalipa wakaniambia wanaituma Bahati mbaya ilikuwa ni kipindi cha likizo kwahiyo mfanyakazi niliyokuw nawasiliana naye ikabidi aniletee mwenyewe (ninapofanyia kazi ni mkoa mmoja na kwao alivyodai).
Huku mahusiano yakiwa motomoto haswaa, nikagundua mpenzi wangu mawazo yake yapo kwenye kuolewa tu (I found her virgin). Sasa baada ya kuletewa bidhaa zangu nilizoagiza taratibu tukaanza mawasiliano na yule mdada wa marketing (single mother), to cut the story short, akaja (yule wa marketing) siku anakuja nikajikuta nimelala mpaka saa nane usiku nikashindwa kumpokea na hilo eneo yeye mgeni, akatafuta guest house akalala. Nastuka usiku wa manane missed calls 34 🤪 nikagundua kabisaa this one is not in my mind at all.
Ikabidi ni apologize muda uleule. Katika kuomba msamaha nikajikuta natoka usiku naenda (shit happens), baada ya hapa na pale tuka-sex unprotected but after that I realized my mistake, kabidi nimwambie ukweli kwamba nina mtu na blah blah zote. Nashukuru Mungu akawa muelewa mama wa watu, akanipa sharti moja tu anaomba nimpe wiki mbili akacheki. Mahusiano na mpenzi yule original yaliendelea ila aliwahi kuhisi kwamba natoka na yule mdada wa marketing ( she’s good in spying 🕵️♀️).
Kilichonifanya nije hapa ni kwamba yule single mother alipata mimba (just once) na huyu niliye naye ana mimba. Ikabidi niseme ukweli kwamba I made mistake akajifanya kunisamehe ila kila kukicha ni maneno, lawama; mara nyingine anajaribu kulipa kisasi anashindwa (she’s too good) mwisho ameamua ku-break up. Kusema ukweli napata tabu sana, natamani ile theory ya time machine iwe halisi nirudi mpaka ile siku ili nisiamke.
Nimekuja kuona nampenda sana lakini siwezi kumrudisha hata akirudi siwezi kumsahaulisha na itaathiri kila kitu.
Naomba msaada wenu wa mawazo (single mother hapana nimejaribu kumpenda lakini naona we do not match kihisia) nachukuwa mawazo, matusi n.k
N.B sasa hivi wote wana watoto; single mother hana shida na mimi hata kidogo (huyu wa kwangu hanielewi hata nusu)