"Mambo yameharibika sana"2025

"Mambo yameharibika sana"2025

Hakika utabiri wa JK, utakuwa umeanza kutimia😳

Alitamka kuwa mambo yakiharibika sana, CCM haitamteua Sa"100 kuwa mgombea wake.

Hii ni October 2024, bado mwaka mmoja tuingie Kwenye uchaguzi Mkuu, mambo yameelekea yameharibika sana ................

Kutekana kiholela, kama ilivyotokea Kwa Aly Kibao na baadaye mwili wake kukutwa amekufa............

Hiyo ni dalili mambo yameharibika Sanaa😳

Kutekwa Kwa akina Soka, hivi sasa ni zaidi ya siku 50, bado hawajukikani walipo

Mambo yameharibika Sanaa😭

Itabidi CCM itafute mbadala wa Mama, kama alivyotabiri JK iwapo itataka ku-survive Kwenye uchaguzi wa mwakani🙏
Wao CCM watakuwa hawayaoni kuwa "yameharibika sana". Tafsiri yao ya "kuharibika sana" inaweza kuwa ni tofauti sana na unavyo fikiri wewe na sisi sote.
Lakini hata yakiharibika sana; hilo haliwapi waTanzania matumaini yoyote wakati polisi bado wapo na mitutu yao ikiwa tayari kuhakikisha Mwenyekiti ndiye mmiliki wa chombo hicho cha dola.

Hizi longo longo za akina Kikwete ni porojo tu kama ilivyo kawaida.
 
Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Ni kutabiri sio kutabili
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana.
Kwa mnaosubiri mpaka mambo yaharibike sana, endeleeni kusubiria, sisi wasoma trends, tumeisha zisoma
trends kitambo na tukazieleza humu, ila inaelekea mpaka sasa taarifa HII itakuwa bado haijamfikia, ndio maana bado anaendelea kujiandaa kwa 2025 kama hivi Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!, muda muafaka ukifika, taarifa hiyo itamfikia na ataanza maandalizi

P
 
Huo ndio ukweli, Mama Samia atakuwa anaelekea 70s kwa Mwanamke ni umri wa kupumzika. Atakumbukwa kwa kazi aliyofanya kuliko kuendelea kung'ang'ania kwa kusema mitano tena. Wanamshawishi ni wale wananufaika na ufisadi wa mali ya umma kwenye Uongozi wake.
 
Kifasihi hii kauli ya mh
kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana. Rais mstafu kikwete aliweza kuforeshadowing. Ebu msikilize hapa.
Iko Wapi?
 
Yaani hata mimi nilishangaa sana. Anamutabiria mwenyeketi wa ccm mambo kama hayo? alipata wapi ujasiri wa kutabiria mwenyekiti? Je anaposema mambo yawe yameharibika sana, ana maana ni mambo gani hayo? Ile ni dharau...mbona yeye marais wastaafu hawakumwambia vile. Haipendezi kabisa
Kasema wapi mbona hamsemi?
 
Hivi kwa Sasa hapa Tanzania Kuna watu wanaohangaika na wenye element zote za uchawi kuwazidi hawa chadema?!!!!
Yaani wanazungumza mambo ya Giza tu.
 
Ni kutabiri sio kutabili

Kwa mnaosubiri mpaka mambo yaharibike sana, endeleeni kusubiria, sisi wasoma trends, tumeisha zisoma
trends kitambo na tukazieleza humu, ila inaelekea mpaka sasa taarifa HII itakuwa bado haijamfikia, ndio maana bado anaendelea kujiandaa kwa 2025 kama hivi Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!, muda muafaka ukifika, taarifa hiyo itamfikia na ataanza maandalizi

P
Vipi ile sauti ya kuwa 2025 anaingia mwanamke?
 
Vipi ile sauti ya kuwa 2025 anaingia mwanamke?
Yes kwa mujibu wa utaratibu na kanuni ya mserereko ya CCM, mgombea urais wa CCM kwa uchaguzi mkuu wa 2025 ni the incumbent president Samia, na kwa vile awamu hii ya kwanza ya Samia imekuja kwa kudra tuu ya Mwenyezi Mungu, hivyo sasa 2025 tuifanye ni zamu ya mwanamke ila mwanamke huyo sio lazima awe ni Samia tuu bali ni yule aliyepangiwa na YEYE, na nikatoa mwito Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P
 
Hata yeye mwenyewe alishanusa hatari kitambo tu
 
Attachments

  • 5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    8 KB · Views: 12
Kifasihi hii kauli ya mh
kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana. Rais mstafu kikwete aliweza kuforeshadowing. Ebu msikilize hapa.
kweli wewe ni Gabeji
 
Huo ndio ukweli, Mama Samia atakuwa anaelekea 70s kwa Mwanamke ni umri wa kupumzika. Atakumbukwa kwa kazi aliyofanya kuliko kuendelea kung'ang'ania kwa kusema mitano tena. Wanamshawishi ni wale wananufaika na ufisadi wa mali ya umma kwenye Uongozi wake.
Angela Merkel alistaafu na miaka mingapi? Halafu huu ni ubaguzi wa kijinsia usio wa kisayansi, yaani sisi wanaume tuna nini wenginec kina Paul Biya hata kumbukumbu zinacheza na bado wako Ikulu ila mwanamke miaka 70 tuone shida? Mungu akimjalia uhai 2025 ni Mhe. Rais Samia tena. 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom