"Mambo yameharibika sana"2025

"Mambo yameharibika sana"2025

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,151
Reaction score
3,116
Kifasihi hii kauli ya mh
kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana. Rais mstafu kikwete aliweza kuforeshadowing. Ebu msikilize hapa.
 
Yaani hata mimi nilishangaa sana. Anamutabiria mwenyeketi wa ccm mambo kama hayo? alipata wapi ujasiri wa kutabiria mwenyekiti? Je anaposema mambo yawe yameharibika sana, ana maana ni mambo gani hayo? Ile ni dharau...mbona yeye marais wastaafu hawakumwambia vile. Haipendezi kabisa
 
Kifasihi hii kauli ya mh
kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana. Rais mstafu kikwete aliweza kuforeshadowing. Ebu msikilize hapa.
Hakika utabiri wa JK, utakuwa umeanza kutimia😳

Alitamka kuwa mambo yakiharibika sana, CCM haitamteua Sa"100 kuwa mgombea wake.

Hii ni October 2024, bado mwaka mmoja tuingie Kwenye uchaguzi Mkuu, mambo yameelekea yameharibika sana ................

Kutekana kiholela, kama ilivyotokea Kwa Aly Kibao na baadaye mwili wake kukutwa amekufa............

Hiyo ni dalili mambo yameharibika Sanaa😳

Kutekwa Kwa akina Soka, hivi sasa ni zaidi ya siku 50, bado hawajukikani walipo

Mambo yameharibika Sanaa😭

Itabidi CCM itafute mbadala wa Mama, kama alivyotabiri JK iwapo itataka ku-survive Kwenye uchaguzi wa mwakani🙏
 
Hakika utabiri wa JK, utakuwa umeanza kutimia😳

Alitamka kuwa mambo yakiharibika sana, CCM haitamteua Sa"100 kuwa mgombea wake.

Hii ni October 2024, bado mwaka mmoja tuingie Kwenye uchaguzi Mkuu, mambo yameelekea yameharibika sana ................

Kutekana kiholela, kama ilivyotokea Kwa Aly Kibao na baadaye mwili wake kukutwa amekufa............

Hiyo ni dalili mambo yameharibika Sanaa😳

Kutekwa Kwa akina Soka, hivi sasa ni zaidi ya siku 50, bado hawajukikani walipo

Mambo yameharibika Sanaa😭

Itabidi CCM itafute mbadala wa Mama, iwapo itataka ku-survive Kwenye uchaguzi wa mwakani🙏
Bila shaka mkuu, ila kuna kundi ndani ya mfumo linalomwalibia mama.
 
Kwa sisi wapenzi wa barabara na kununua magari,tukipita kijichi na ule mradi wa DMDP,Tunakili huko nyuma kama hii miradi ilikuepo basi hatujui mfano wa ulipofanyika.
 
Yaani hata mimi nilishangaa sana. Anamutabiria mwenyeketi wa ccm mambo kama hayo? alipata wapi ujasiri wa kutabiria mwenyekiti? Je anaposema mambo yawe yameharibika sana, ana maana ni mambo gani hayo?
Kama huyo boya wa msoga anazingua tuambieni tumtumia MAFWELE NA ABDUL WAMSHUGULIKIE😁
 
Ndio kawaida ya ccm wanaharibu alafu wanatatu alafu wanakuja kujisifia kwa raia. Kwa kazi nzuri
 
Unaishi Chang'ombe, mpira kwa Mkapa kiingilio bure. Unataka kuangalia kupitia Azam. Usiweke video tafadhali.
 
Kwa sisi wapenzi wa barabara na kununua magari,tukipita kijichi na ule mradi wa DMDP,Tunakili huko nyuma kama hii miradi ilikuepo basi hatujui mfano wa ulipofanyika.
Mambo yameharibika sana
 
Kifasihi hii kauli ya mh
kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana. Rais mstafu kikwete aliweza kuforeshadowing. Ebu msikilize hapa.
alisema “Labda mambo yakiharibika sana" pia akasema haamini kama inaweza kuwa hivyo.

Lakini sasa imekuwa.

View: https://youtube.com/shorts/q-FxY_2AqKg?si=v3p0kfnlWEd-FkK-
 
Back
Top Bottom