Hapa ni orodha ya matukio yaliyotikisa nchini tanzania 2025
- Maandamano na Mauaji ya Raia (Oktoba 29)
- Maandamano makubwa dhidi ya serikali, ambapo maelfu ya raia waliuawa au kujeruhiwa baada ya polisi kutumia nguvu kupita kiasi.
- Samia Kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi Bila Kura kuhesabiwa, Aapishwa Kijeshi
- Samia alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa 2025 bila kupigiwa kura, na akaapishwa kijeshi porini, jambo lililosababisha mashaka kuhusu uhuru wa uchaguzi.
- Tundu Lissu Kukamatwa kwa Kosa la Uhaini
- Lissu alikamatwa na kuwekwa rumande kwa kosa la uhaini, bila ushahidi, jambo lililosababisha hasira za wafuasi na jumuiya ya kimataifa.
- Uchaguzi Mkuu Bila Chadema
- Chadema kilizuiwa kushiriki uchaguzi wa 2025, na hili liliongeza mivutano kisiasa na kulalamikiwa na wapinzani.
- Utekaji wa Wakosoaji wa Serikali
- Kulikuwa na wimbi la utekwaji wa viongozi na wakosoaji wa serikali, ikiwa ni juhudi za kuzuia upinzani.
- Kifo cha Ndugai na Jenista Muhaganj
- Viongozi hawa wa CCM walifariki, na Gen Z walisherehekea vifo vyao, wakiona ni hatua ya mabadiliko.
- Baba Levo Kuwa Mbunge wa Kigoma, Zito Apigwa Chini
- Baba Levo alichaguliwa Mbunge wa Kigoma, huku Zito Kabwe aliondolewa kwenye nafasi ya uongozi wa ACT.
- Kuzimwa kwa Mtandao kwa Wiki Nzima
- Mtandao wa intaneti ulizimwa kwa wiki nzima nchini, kuzuia mawasiliano na taarifa dhidi ya serikali.
- Simba Kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho
- Simba ilifika fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, lakini ilishindwa na RS Berkane
- Majabali wa CCM Kutemwa
- Viongozi wakubwa wa CCM kama Dr. Tulia Akson, January Makamba, na Ummy Mwalimu waliondolewa kwenye nafasi zao, kuashiria mapambano ndani ya chama.