CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,045
Baada ya DPR, kijana mwenye mafanikio makubwa aliyekuwa nyuma ya Silk Road kutiwa nguvuni na polisi, sasa polisi inaelekea wanammulika kwa ukaribu sana backopy kiasi kwamba ametangaza kuifunga BMR ndani ya wiki kadhaa, kitu ambacho kimewashtua vendors na kuutetemesha ulimwengu mzima wa kuzimuni. Hata hivyo wakongwe wengi wanasema kuzimu ndiyo kwanza inapaa, wamiliki wa servers wamekuwa wakipokea maombi mengi ya anonimous hosting kwa offer za pesa nyingi, hii inaonesha kuwa wanazi wako deliberate kusalia online.
Kwa mujibu wa MtGox, exchange sasa hivi imefikia $1,100. hii inafanya BTC kuwa currency imara zaidi kuwahi kutokea!! Hii ni dalili nzuri kwa wadau wote, ilitegemewa exchange ingeshuka, badala yake inapanda!!!!