Mambo yaendelea kuwa Magumu KUZIMU!

Mambo yaendelea kuwa Magumu KUZIMU!

2013-10-29-image-9.jpg

.
A British 28-years old IT
worker would become a
millionaire, if he hadn’t trough
away his drive. James Howells
created a computer program to
“mine” the BTC’ currency, and was awarded with 7,500
BTC bounties for this job, that
he has stored to electronic
valet file on his laptop. Low
cost of e-currency made
Howells to forget about it. In 2010 he was forced to
demount hard drive from the
laptop as he has poured a drink
on a keyboard. Needles to say,
that the drive was abandoned
for years. Recently, James Howells threw it away.
 
2013-10-29-image-9.jpg

.
A British 28-years old IT
worker would become a
millionaire, if he hadn't trough
away his drive. James Howells
created a computer program to
"mine" the BTC' currency, and was awarded with 7,500
BTC bounties for this job, that
he has stored to electronic
valet file on his laptop. Low
cost of e-currency made
Howells to forget about it. In 2010 he was forced to
demount hard drive from the
laptop as he has poured a drink
on a keyboard. Needles to say,
that the drive was abandoned
for years. Recently, James Howells threw it away.

Huyo jamaa anajilaumu mpaka kesho, 7500BTC kwa exchange ya wiki hii angepata zaidi ya $7,500,000 (zaidi ya 12Bn za madafu).
 
dread pirate roberts ndo dpr hili ni jina
btc ni bitcoin hizi ni hela
silk road ni soko la online la hao jamaa kina dpr
kuzimuni nafkiri ni underground sehemu zinapifanyika matukio yasiyo halali

umepata picha?

kuna jamaa yangu Mtanganyika alikua ananiambia hili soko wanauza madawa ya kulevya hadharani. ukitaka bangi unanunua kama ebay na inakuja hadi mlangoni

Hakuna ishu huko dada, ni heri ukabaki hapahapa duniani!

asanteni kwa kunielewesha lakini bado nochinochi............hebu nihakikishieni kitu kimoja tu........hii ni mambo inayohusiana na mahali panapoitwa kuzimu.....?
 
Jamani mi mbwiga nitabakia na hizi hizi pesa zangu zenye twiga ,tembo,simba na wale marehemu, hayo mambo ya akina binti kikoini sinayatambuya!
 
asanteni kwa kunielewesha lakini bado nochinochi............hebu nihakikishieni kitu kimoja tu........hii ni mambo inayohusiana na mahali panapoitwa kuzimu.....?

Hapana dada.
 
asanteni kwa kunielewesha lakini bado nochinochi............hebu nihakikishieni kitu kimoja tu........hii ni mambo inayohusiana na mahali panapoitwa kuzimu.....?
Preta,
Ushauri wangu kwako ni huu:

Ukifuatilia saana chanzo cha mkia kuna hatari ukagusa mbolea.

Kubali mambo mengine yapite Kwangulelo.

Sitaongeza neno hapo.
 
Last edited by a moderator:
still loading.....naona kama mnaandika codes zakuandika software! fungukeni!
 
Mwanzoni imenipa shida sana kuielewa but nimegoogle nimepata ka idea flani ivi kuhusu hawa jamaa.
 
Kizungumkuti tu!! Hii ina faida gani kwa maisha ya Bongo? Au ndio hiyo kuletewa unga hadi mlangooni?Poor You!!
 
Kizungumkuti tu!! Hii ina faida gani kwa maisha ya Bongo? Au ndio hiyo kuletewa unga hadi mlangooni?Poor You!!

Ungekaa kimya usingeaibika maana sie twajua tunachoongea bt ukadandia
 
Ungekaa kimya usingeaibika maana sie twajua tunachoongea bt ukadandia

Hahahaa, thread haiwahusu na hawajui kitu kinachoongelewa wameanza judgement...wabongo bhana!!...wapotezee mkuu.
 
Baada ya DPR, kijana mwenye mafanikio makubwa aliyekuwa nyuma ya Silk Road kutiwa nguvuni na polisi, sasa polisi inaelekea wanammulika kwa ukaribu sana backopy kiasi kwamba ametangaza kuifunga BMR ndani ya wiki kadhaa, kitu ambacho kimewashtua vendors na kuutetemesha ulimwengu mzima wa kuzimuni. Hata hivyo wakongwe wengi wanasema kuzimu ndiyo kwanza inapaa, wamiliki wa servers wamekuwa wakipokea maombi mengi ya anonimous hosting kwa offer za pesa nyingi, hii inaonesha kuwa wanazi wako deliberate kusalia online.
Kwa mujibu wa MtGox, exchange sasa hivi imefikia $1,100. hii inafanya BTC kuwa currency imara zaidi kuwahi kutokea!! Hii ni dalili nzuri kwa wadau wote, ilitegemewa exchange ingeshuka, badala yake inapanda!!!!

Leo ndo nimeamin kuwa ninaishi ukimwengu wa tatu. Baada ya kugoogle the above story. Dah!!!
 
Nashukuru nimepata idea. Sikujua chochote kuhusu hii kitu. Usiku ni tagoogle zaidi. Thanks
 
Back
Top Bottom