Mambo yaendelea kuwa Magumu KUZIMU!

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,341
4,045
Baada ya DPR, kijana mwenye mafanikio makubwa aliyekuwa nyuma ya Silk Road kutiwa nguvuni na polisi, sasa polisi inaelekea wanammulika kwa ukaribu sana backopy kiasi kwamba ametangaza kuifunga BMR ndani ya wiki kadhaa, kitu ambacho kimewashtua vendors na kuutetemesha ulimwengu mzima wa kuzimuni. Hata hivyo wakongwe wengi wanasema kuzimu ndiyo kwanza inapaa, wamiliki wa servers wamekuwa wakipokea maombi mengi ya anonimous hosting kwa offer za pesa nyingi, hii inaonesha kuwa wanazi wako deliberate kusalia online.
Kwa mujibu wa MtGox, exchange sasa hivi imefikia $1,100. hii inafanya BTC kuwa currency imara zaidi kuwahi kutokea!! Hii ni dalili nzuri kwa wadau wote, ilitegemewa exchange ingeshuka, badala yake inapanda!!!!
 
mnhh kaka hii post, nimeielewa nilipofika hapo kwenye BTC sidhani kama mtu wa kawaida ataielewa
 
Mweee........tuelewesheni wenzenu nasi twataka kujua.......huko kuzimuni ni wapi.........?

dread pirate roberts ndo dpr hili ni jina
btc ni bitcoin hizi ni hela
silk road ni soko la online la hao jamaa kina dpr
kuzimuni nafkiri ni underground sehemu zinapifanyika matukio yasiyo halali

umepata picha?

kuna jamaa yangu Mtanganyika alikua ananiambia hili soko wanauza madawa ya kulevya hadharani. ukitaka bangi unanunua kama ebay na inakuja hadi mlangoni
 
Last edited by a moderator:
kuzimu anamaanisha deep web(underground internet)

Its better you remove the link bro! Watu wanaweza kuingia out of curiosity, halafu wakajikuta wako involved bila kujua. Mtaalam kama wewe unajua njia za kuingilia ambazo zinakulinda, lakini for a complete noob its not advisable, nothing interesting kwa an average user!
 
Its better you remove the link bro! Watu wanaweza kuingia out of curiosity, halafu wakajikuta wako involved bila kujua. Mtaalam kama wewe unajua njia za kuingilia ambazo zinakulinda, lakini for a complete noob its not advisable, nothing interesting kwa an average user!
ok mkuu imebakia hapo ulipoquote.
 
Bei ya Bitcoin moja kwa sasa ni around 1.5M pesa ya madafu (nakumbuka 2004 nilinunua bitcoin kwa chini ya laki moja/btc), kama mtu anataka kununua Bitcoins kwa sasa simshauri afanye hivyo, trend inaonesha bei inapanda, lakini muda wowote inaweza kushuka, kwa 1.6M unaweza kupata miner nzuri tu inayokimbilia 6GHZ, kama suala la umeme si tatizo sana hiyo inaweza kumine mpaka 10BTC kwa mwezi, thats a better investment!
 
btc si bitcoin hizi hela mpya za online zinazoleta mtafaruku kwa baadhi ya nchi kuzikubali nyengine wanazikataa

To hell with Them politicians, wanayalinda mabenki, lakini sisi tunasonga na bitcoin inapanda bei kila kukicha, Vancouver imefungwa mashine moja ya ATM inayoweza kuexchange bitcoin kwa pesa taslimu, ndani ya wiki transaction zaidi ya $100K zimefanyika! Bitcoin is the way to go, lakini uangalifu unatakiwa usije kupoteza, hii pesa kwa sasa haijatulia inapanda kwa kasi ya ajabu, sasa usije kununua wewe wakati iko katika peak, then ikianza kuporomoka inakula kwako!!
 
atm.png

bitcoin-atm.jpg

bitatm.jpg
 
mnhh kaka hii post, nimeielewa nilipofika hapo kwenye BTC sidhani kama mtu wa kawaida ataielewa

mie nimemsoma tangu mwanzo. anazungumzia ulimwengu unaoingia kwa tor. maana ilivoanza tu nikajua ni darknet.
 
Back
Top Bottom