Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 868
Hiyo ni ngumu kumeza kaka!
katika mazingira yetu ya kiafrika hiyo ni situation ngumu sana kuimeza, ingawa mara nyingi michango ya ma -x huwa ipo sana na inafanyikaga kwa siri sana na spouse wako hapati picha.
ila hiyo ya huyo jamaa ngumu sana kuimeza aisee, inataka busara itumike zaidi na sio feelings.