Mambo ya uswahilini hayo

Kama vitumbua vizuri mimi hata sasa hivi naenda nunua hapo.

Vimetukuza hivyo na wala havijawahi kutudhuru hata siku moja
 
Kama vitumbua vizuri mimi hata sasa hivi naenda nunua hapo.

Vimetukuza hivyo na wala havijawahi kutudhuru hata siku moja

Mkuu mimi nimemshangaa sana mleta mada wakati yeye mwenyewe amekuzwa na viazi vya kuvumbikwa kwenye majivu na maji ya kunywa meupe kama maziwa tena binadamu unachota hapa mifugo inakunywa upande wa pili.
 
Kwani mimi nimeshangaa wakati ndo uswahilini kwetu hapo..mungu anatulinda tu bwana
 
Tulio kulia vitumbua hivyo na viporo kumbe tupo wengi.
 
Hapo anapika na kuuza vitumbua karibu na mlango wa choo,kwa kweli mungu anatusitiri sana

Kiafya huyu mama angelikwenda jela na kufungiwa kufanya kabisa biashara yake hiyo ya vitumbuwa anavyoviuza huo ni uchafu wa mwisho kabisa.
 
kwanini wamama wengi wauza vitumbua ni WANENE!!??
 
Samahani huyo mdudu hana jina hebu jitahidi angalau tumjue jina maana sisi bado tupo shule na huwenda akawepo kwenye mtihani wa shule

Huyo hatokagi kwenye mitihani mkuu, labda kukojoa na kuongeza familia tu!!!!
 
Hapo anapika na kuuza vitumbua karibu na mlango wa choo,kwa kweli mungu anatusitiri sana

Mungu anatulinda sana. Utakuta watu wananunua wanakula bila kupata matatizo aisee
 
Tulio kulia vitumbua hivyo na viporo kumbe tupo wengi.
Halafu kuna muda ukienda huvikuti vimeshaisha na asubuhi foleni yake huiwezi.

Kweli kabisa vimetukuza vyote hivyo ulivyovitaja. Hapo kwenye kiporo mpaka naona raha mimi nilikuwa nikiwa na haraka sihitaji kiporo kilichopashwa kikitoka kwenye friji napeleka cha baridi hivyo hivyo, hapo ya moto chai ndio inayoenda kuzimua huko tumboni
 
happiness win

Hii ni picha ya Kichwa cha nanihii ahh Sitoweza kusema kuna watoto wapo macho usiku huu kazi kweli ipo hapo.

Mzizi mkavu, hata mimi niliishiwa maneno nilipoiona picha hii imewekwa kama avatar ya mtu humu ndani. niliishia kuiweka hapo tu, ili atakayekuwa na uwezo wa kusema chochote juu ya picha hiyo aseme.
 
Last edited by a moderator:

Hivo vimaji maji vya chooni vikirukia ndo vinazidi utamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…