Mambo ya uono.

Naomba Ongezea Nyama Kidogo Hapa
Kama nilivyosema fruits use different enzymes to digest. Ukila fruits na mchanganyiko wa vyakula vingine hautapata nutrients toka kwenye matunda kwasababu hakutokuwa na digestion nzuri.

Kula matunda yako muda kabla ya main course. Usichanganye matunda na vyakula vingine
 
Sawa mkuu najua unapenda msosi. Nimeona unapost picha za vyakula mara kwa mara.

Binafsi napenda msosi. Lakini huo msosi usiwe nyama au diary products.
Nimekusoma mkuu
 

Duh!

Haya masharti ukiyafuata utaishi maisha magumu sana!
 
Duh!

Haya masharti ukiyafuata utaishi maisha magumu sana!
Kinyume ndiyo kweli

Ukiyafuata hata ndiyo utaishi maisha rahisi.

Wewe unaona ni ngumu kwasababu unaongozwa na mazoea

Waswahili wanasema.....tembea ujue sio mama yako tu anayeweza andaa chakula kitamu.

Jifunze leo. Usile kwamazoea tu.
 
Half an hour before or after meal
Sawa kabisa.

Na ukila matunda kama inavyopaswa, utaona mabadiliko.

Ngozi itaimarika.

Utapata "perfect poop"

Usingizi utakuwa poa.

Mwili unakuwa mchangamfu.

Macho na uwezo wakuona utaimarika.

There so many benefits eating ital. I have few friends who are fruitarians. I learnt a lot from them. About 90% of what they eat are fruits. And they are good. At first I was worried they may suffer from protein deficiency buy no man fruits have all necessary nutrients for a healthy body. Personally I been eating "clean" food for about 4 years now. No meat, no diary.
 
Daah,unanikumbusha mbali kidogo.

Ukiupata uono,ugali mlima,maharage na maji ya kunywa lita 3. Acha kabisa hao viumbe habari zake nzito.
Mkuu uono unaweza ukakufanya umalize hata ugali kilo tatu
 
Kinyume ndiyo kweli

Ukiyafuata hata ndiyo utaishi maisha rahisi.

Wewe unaona ni ngumu kwasababu unaongozwa na mazoea

Waswahili wanasema.....tembea ujue sio mama yako tu anayeweza andaa chakula kitamu.

Jifunze leo. Usile kwamazoea tu.

Mkuu, mimi nakula nichotaka na ninapotaka. Na nipo vizuri tu kiafya, namshukuru Mungu. Na nimekula chumvi kibao mpaka sasa hivi. Wazee wetu walikuwa hawajui hata enzyme maana yake nini, lakini walikuwa wana clock 120+. Sie tunajua kila kitu. Chumvi hatari, sukari haifai, mafuta usile, kunywa maji lita tano, usichelewe kulala, fanya mazoezi mara 3, usilale baada ya kula, usile matunda na chakuala nk, lakini bado hata 70 yrs hatufiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…