Wasanii wetu wanaenda kimazoea sana,hiyo ngoma ya kawaida wala haishtui!
Sijui wasanii wetu wanakwama wapi,jide kwenye huu wimbo yuko below average.kwamba ni umri unemtupa si kweli maana huko duniani kuna watu wanavuma miaka na miaka,mfano Kylie Minogue alivuma miaka ya 2000 huko,ila sasa karudi kama humjui unaweza jua ni msanii mpya.Ukisikiliza Padam na Tension unaona kabisa hapa kuna uwekezaji mkubwa.