LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,304
Ni kwaya ama ni nini? Jide my sista are u serious? Kwaya? Mwaka 2023?
It is high time now wakongwe wa bongo fleva waambiwe ukweli. 2023 is not 2003.
Mambo yamebadilika.
Something which was good in 2003 may not be good in 2023.
Jide unahitaji kufanya upya research yako. It is high time now wasanii wa bongo muanze kuajiri " Music analysts " wazifanyie analysis nyimbo zenu kabla hazijatoka.
Music is arithmetic.
Music is science and there is no miracle in science...
Yericko Nyerere Anza kutoa semina za ujasusi kwa wasanii wa Tz ili wawe wanazifanyia nyimbo zao ujasusi kabla ya kuzitoa.
# mambo ya tano = mambo matano.