Mambo ya Sumbawanga hayo!!

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
4,726
5,442
1469787334590.jpg
 
Kampuni nzuri sana hiyo ina strategy and tactical awareness!
 
Hii picha sio Sumbawanga ni huko Nigeria.....nilishawahi kuiona nairaland......

Hata ukitazama hayo maandishi kwenye ubavu wa hiyo gari hayawiani na gari yenyewe.......

Alafu hata hao waliopo ndani ya gari wanaonekana kumshangaa huyo fisi.....na huyo bwana.....
46e73d6e719f94411449a38d79b4d941.jpg
 
Duu kumbe tumeingizwa chaka
 
Back
Top Bottom