MAMBO YA SMS: BINGWA WA UTABIRi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,458
33,380
Kwa kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:


1}umeshika simu yako mkononi...2}Unasoma sms...


3} Ww ni binadamu hai kabisa.


4}Huwezi kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.


5}nakuona umejaribu kusema neno PIPI..


7}Unajicheka mwenyewe.


8}Unaendelea kusoma ujumbe huu.


9}Unatabasamu.!


10}Umeruka! namba 6.


11}Umerudi kucheki kama kuna namba 6.


12}Umetabasam!Sikweli?? UNACHEKA!! Unajiandaa kuifoward. Angalia ucnifowadie!!!! Teh teh teh !!!.
 
Back
Top Bottom